Nahisi kumchoka lakini kumwambia nashindwa

Nahisi kumchoka lakini kumwambia nashindwa

<br />
<br />
Sina hakika nini chanzo lakini inawezekana kuna dada flan tumetokea kuwa marafiki toka mwez wa 2 na toka tumeanza urafik tumekuwa karibu sana na nimetokea kumpenda lakini ye anadai ana jamaa yake thou sikuwahi kumwona naye anadai jamaa yake hamjali inaweza pita week hajampgia hata simu lakini ye anampenda sana. Si kwamba natoka na huyo dada lakini nina hisia za mapenzi juu yake toka nimfaham na kila siku ukaribu unazidi na ye ndiye kampani yangu. Labda ndo tatzo


Acha kutuzuga wewe, umeshapata kitu kipya unaanza kusema oh, mapenzi yamepungua sijui nini unaomba ushauri kwetu. kumbe jibu unalo kwamba kipya kinyemi, ona hapo kwenye red ndo umemaliza kila kitu. Amua moja mzee, ohoo kuwa mwaka wa tatu siy kumaliza chuo.
 
Wewe una anayekusumbua hapo UDOM usitudanganye bwana.Huyo wa UDOM ndo anakupotezea muda mpaka unasahau huyo wa SAUT..tulia na mmoja wewe dogo.
 
Soma kwanza,mkiumizwa hamchelewi kuferi.By the way umuhimu wa mtu unaonekana pindi akiwa hayupo,mpotezee itafika wakati unamuhitaji wajanja walishamchukua
 
du jaman ni feelings 2 si kwamba nimedhamilia kumuumiza
 
Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu hivi sasa. Lakini toka mwezi wa tatu nimetokea kupoteza ham ya mapenz juu yake. Yeye anaingia mwaka wa 3 sauti nami naingia mwaka wa 3 udom.
Najitahidi kutomwonesha lakini nashndwa. Tulikuwa tuna mazoea ya kuchat mda mwingi kila siku lakini hivi sasa akituma sms hata kumjibu naona tabu. Asipo nitafta ndo kabisa simtaft. Si kwamba nafanya makusudi lakini sina mapenz kabisa juu yake.
Nataman kumwambia ukweli lakini nahisi ntamuumiza sana kwa kuwa mpaka sasa anaumia kiasi kwamba kamwambia ndugu yangu na marafiki zangu naowafahamu kuwa anaumia kuona nimechange.
Kusema kweli yani akiniita honey au sweet au dear nahisi kukereka yani sitaki hata kusikia akiniita majina hayo.
Jamani naombeni ushauri wenu vipi nimwambie au nikae kimwa
Nikijaribu kuunganisha the red dots, basi kama anapita hapa message atakuwa ameipata...! So, message send already...!
 
Hapo zamani za kale kulikuwa kuna kitu kinaitwa barua..
Na sasa hivi kuna kitu kinaitwa Email..

Njia rahisi ku achana na mtu ni kumwandikia
Ukimwambia ana kwa ana waweza ulishwe kibao..
Ukimpigia kwenye simu mtajibizana mpaka kesho au ye ataongea kuliko wewe.. na ujumbe
Usifike vema..

Hey hivi ndivyo unavyojisikia basi kuwa mwazi
na mwenzio, itakupunguzia mawazo na ye apate muda wa kumtafuta wa kumliwaza.
Kuwa mkweli na nafsi yako..
Tchaooooo
 
mpe live...mwambie tu ili asepe zake na James wake wa SAUT,....unajifanya wwe tu ndo upo...ana James tyr,.....
 
Hapo zamani za kale kulikuwa kuna kitu kinaitwa barua..
Na sasa hivi kuna kitu kinaitwa Email..

Njia rahisi ku achana na mtu ni kumwandikia
Ukimwambia ana kwa ana waweza ulishwe kibao..
Ukimpigia kwenye simu mtajibizana mpaka kesho au ye ataongea kuliko wewe.. na ujumbe
Usifike vema..

Hey hivi ndivyo unavyojisikia basi kuwa mwazi
na mwenzio, itakupunguzia mawazo na ye apate muda wa kumtafuta wa kumliwaza.
Kuwa mkweli na nafsi yako..
Tchaooooo
nitampa live i think this will help
 
Muambie plz , si kwa simu but mfuate na mtoe out sehemu ya kawaida tu muambie ukweli unavyojisikia lakini usisahau kumuambia how special she is! Akitoa machozi dont cry back msikilize ypote atayosema kwa umakini ila usiende naye tena kwa bed. Ukiondoka siku hiyo hata kama unamuone huruma kiasi gani muache aende peke yake na ww kula road yako, ni kwa faida yake with time ataheal na kumove on ila do nt play with her feelings tell her the facts no matter the pains
 
thanx for your advice thou ngumu lakini i will try
 
Mimi nimeshawachoka wengi tu na huwa sijiulizi mara mbili natoa red card straight forward. Sasa wewe mtu humpendi tena kwa nini uendelee kumpotezea muda wake, achana naye. Most probably ulikuwa unajipooza tu hapo no love at all.
 
Elmagnifico, duh! Hali hyo inatokea weng kaka,..
Kwanza Sikushaur umuache..
U nid to relax, punguza kuchat na hao marafk wa kike...coz hata ukiwa na huyo rafk yako, still ukipata rafk mwngne utamwacha huyo dada unaevutiwa nae kwa sasa..
Be fair nd reasonable..
 
Huyo mpenzi kama mapenzi yameisha wala usilazimishe penzi halilazimishwi kaka. Mapenzi mengi ya before college ni ya mpito huyo ulomzimikia saa anaweza kuwa ndiyo chaguo la moyo wako. Huna official commitment na huyo wa kwanza hence fuata roho yako usije kuforce kupenda mtu afu ukaja kuwa na maisha ya hajabu baadae (kuwa cheater). Fanya upembuzi vizuri kipindi hiki cha ujana ukioa mwanawane na kujikuta umeoa mke ambaye si chaguo waweza kukuta una maisha yalojaa simanzi.

Mwambie ukweli huyo mdada ataumia lakini itamsaidia ku move on kuliko kuwekeza pasipo na uhakika na umri si hajabu unasonga.
 
better you tell him the truth,akalia akasahau kuliko kumdanganya akacheka
 
Hey, Elmagnifico hayuko sure yet aamue lipi,..
Wanaume weng wanajua, wakipata nyumba ndogo mpya, wanaona ya zaman haifai, wakat si kweli..
Ni ile nyumba ndogo ndio inakuchanganya..
So asimuache upesi, coz hana tatzo, tatzo n huyo mdada mpya...
Alaf soma kijana, Chaya asikukamate
 
Back
Top Bottom