Nahisi kumchoka lakini kumwambia nashindwa

badala ya kuzingatia masomo ww unawaza mchumba hata life hjui itakuwaje huko mbeleni.soma ndugu elimu ni ufunguo wa maisha, jitahidi upate GPA nzuri acha kuwaza ujinga mapenzi na shule haifai
 
This is how lov look like.. hamna ajuaye rangi yake coz hubadilika badilka kama kinyonga nakuhakikishia ukimwacha huyo sister bila sababu za maana utajuta tuliza akili yako mwonane muongee kazi kwako
 
this might be right.
1.umempata mwingine ambae unahisi ni chaguo sahihi kwako but hutaki kutuweka wazi hapa jamvini?
2.ulikua nae because u just wanted to have a lover but practically you didnt love the one from the first time.
3.Ulimtamani na wala hukumpenda toka mwanzo.
4.it was accidental relationship and not real one.
THE WAY FOWARD
mwambie ukweli mapema kuliko kumuumiza


Te
 
Mmmmmmh! Mapenz ya msimu, chuki na kuendeshwa na hisia za muda mfupi! Mpe sababu kwanini humpendi, na kwanini ulimpenda mwanzoni. Kwa sababu ukumbuke "who feel it knows'. Lazima una sababu. Mwambie tu ukwel kama umesha mgeuka.
 
<br />
<br />
inaelekea ndo tabia yako
 
Kama umempenda huyo hta ukaja ukawa nae akatokea mwngn utampenda,hujafka kazn lol....utahis ulichelewa.usiijenge hyo tabia!kwanza mwanamke unaespend nae kwa muda ni mzur kuliko hta hyo wa miez miwil.WATCH OUT
 
Mwambie mapema kabla hajakustukia, mwambie mapema kabla hayajawa makubwa! FUNDA MOJA TU!
 
Uanziche mazungumzo naye ukamweleza kwa uwazi na utulivu jinsi unavyohisi. Naelewa kabisa kwamba hutaki kumwona akilia kwa sababu yako, lakini you're making it worse kwa kutokumwambia ukweli maana unampa matumaini ya uongo, yaani unamfanya aamini unampenda wakati huna mapenzi kwake tena. Hilo linaweza kumsababisha maumivu mengi sana kuliko maumivu angesikia ungalimwambia ukweli sooner. Ataumizwa na maneno yako, it's inevitable, lakini angalau ataweza kuendelea na maisha yake na kupata mchumba atakayempenda kwa kweli kama ukiwa na ujasiri wa kuachana naye.
 
Soma ww acha kuwaza vitu ambavyo utavikuta mbeleni
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;

hahaa wewe acha mambo ya ajabu alipokua msingi mlimwambia soma kwanza kaingia sekondari hivyo sasa mtu mzima yupo chuo unaleta stori hizo hizo...cha msingi mpeni ushauri me nadhan hilo ndo la msingi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…