Nahisi kuna mchawi ananiroga humu JF

Nahisi kuna mchawi ananiroga humu JF

Tumia fikra za kujenga zaidi kuliko kubobomoa,tumia fikra zaidi kuleta watu karibu kuliko kuwatanya,tumia fikra zaidi kufanya Jamii Forums ni sehemu ya watu wenye uelewa wa mambo anuai ndani na nje ya nchi,Tumia mtandao huu kama unavyojieleza kuwa "where we dare to talk" but not talking too much then nonsense.
Ukiwa mwanaccm wa muda mrefu watu wameshakufahamu humu sasa haina haja ya kuendeleza chuki,fitna,husda na lugha chafu ambazo hazina tija katika mada husiku.siku zote chama tawala na wafuasi wake ni watu wa kuigwa lakini imekuwa tofauti sana nchini mwetu,wafuasi wa chama tawala wamekuwa front kujishushia hadhi JF.Kupigwa BAN kunatokana na utovu wa NIDHAMU,JIREKEBISHE HAKUNA MCHAWI WALA BUNDI ANAYEWEZA KUTUA JF NA KUHARIBU MAARIAFA NA UTASHI WA FIKRA ZAKO.
Super thinking tank
 
Leo nimetoka kifungoni (BAN). Natafuta dawa ya kujikinga na BAN za JF. Naomba ushauri.
hivi unajuaje kama umekula ban mkuu?! maana mara nyingine nikilog in inakataa kabisa
 
Dawa ni kusoma comments za watu bila wewe ku comment chochote
 
Tumia fikra za kujenga zaidi kuliko kubobomoa,tumia fikra zaidi kuleta watu karibu kuliko kuwatanya,tumia fikra zaidi kufanya Jamii Forums ni sehemu ya watu wenye uelewa wa mambo anuai ndani na nje ya nchi,Tumia mtandao huu kama unavyojieleza kuwa "where we dare to talk" but not talking too much then nonsense.
Ukiwa mwanaccm wa muda mrefu watu wameshakufahamu humu sasa haina haja ya kuendeleza chuki,fitna,husda na lugha chafu ambazo hazina tija katika mada husiku.siku zote chama tawala na wafuasi wake ni watu wa kuigwa lakini imekuwa tofauti sana nchini mwetu,wafuasi wa chama tawala wamekuwa front kujishushia hadhi JF.Kupigwa BAN kunatokana na utovu wa NIDHAMU,JIREKEBISHE HAKUNA MCHAWI WALA BUNDI ANAYEWEZA KUTUA JF NA KUHARIBU MAARIAFA NA UTASHI WA FIKRA ZAKO.
we mwenyewe ni mchovu wa fikra
 
Wew una stahili ban ya milele ikiwezekana unyongwe kabisa
Hahahahahahahahahahahaha badala uombee dj au mamvi anyongwe kwa sababu ya unafiki na uchonganishi. Mimi nipo na sasa BAN naziepuka sana
 
Back
Top Bottom