Nahisi kuna watu watahamia kati ya hizi timu duru likizungushwa kwa Simba SC:TP Mazembe,Waydad Casablanca na Esperance.

Nahisi kuna watu watahamia kati ya hizi timu duru likizungushwa kwa Simba SC:TP Mazembe,Waydad Casablanca na Esperance.

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
749
Reaction score
661
Habari wapendwa!!!
Baada ya kushudia mtifuano wa Simba SC na As Vita Congo na Simba SC na kuibuka mshindi dakikia za 88 na Simba akiongoza mabao 2 Kwa 1 katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,
Baadhi ya watu walisapoti As Vita Congo japokuwa ni watanzania.
Kwasasa nawaona wakitafuta timu ya kuishabikia nyingine endapo CAF wakipitisha Duru za mchezo nani acheze na Simba SC.
Tafuta timu ya kushabikia kuanzia sasa kati ya hizi endapo akikutana na Simba SC.
1.TP MAZEMBE
2.WAYDAD CASABLANCA
3.ESPERANCE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI SIMBA,MUNGU WABARIKI WENYE CHUKI NA SIMBA,MUNGU IBARIKI AFRIKA MASHARIKI,MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 
kwa tabia yenu ya kufungwa 5 ugenini... mjue kabisa hii stage haina point 3.. hii ni magoli mengi ndio muhimu... sasa away mkakaze mkia wenu huo msipigwe nyingi
 
Mmemsikia Selemani Matola wa lipuli kawapa ushauri YANGA kamsikilize alivyosema.
 
Tatizo la simba wakiendaga ugenini wananyeshewa mvua za magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna improve kaka,si uliona kwa Saoura tulipunguza mpaka 2??tarajia tutafanya vizuri zaidi,hofu yangu sio kufungwa nyingi ugenini hilo(kumbuka last final Esperance alipigwa 3-1 ugenini) hofu yangu ni uwezo wetu wa kupiga goli nyingi nyumbani(Esperance baada ya kupigwa 3-1 kwa al ahly akaenda kushinda kwake 3-0)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nishachagua na naomba wawe waarabu tu. Hao Esperance watawafaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa kamati ya Roho mbaya
IMG-20190317-WA0100.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchuano unaofuata ni Taifa Stars na Uganda Cranes sasa wanayanga kwa kujichanganya watashabikia timu iliyoko nje ya nchi.
 
Mimi Wa kwanza,yaani hizo timu zote Mimi nazipenda balaa yani!!
 
Na uzuri Mungu yupo upande wa Simba ,anataka kutenda maajabu
 
Back
Top Bottom