Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wapendwa!!!
Baada ya kushudia mtifuano wa Simba SC na As Vita Congo na Simba SC na kuibuka mshindi dakikia za 88 na Simba akiongoza mabao 2 Kwa 1 katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,
Baadhi ya watu walisapoti As Vita Congo japokuwa ni watanzania.
Kwasasa nawaona wakitafuta timu ya kuishabikia nyingine endapo CAF wakipitisha Duru za mchezo nani acheze na Simba SC.
Tafuta timu ya kushabikia kuanzia sasa kati ya hizi endapo akikutana na Simba SC.
1.TP MAZEMBE
2.WAYDAD CASABLANCA
3.ESPERANCE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI SIMBA,MUNGU WABARIKI WENYE CHUKI NA SIMBA,MUNGU IBARIKI AFRIKA MASHARIKI,MUNGU IBARIKI AFRIKA.
Mi nishachagua na naomba wawe waarabu tu. Hao Esperance watawafaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soura sio timu kubwa..kuna magiant 8 tu AfrikaTuna improve kaka,si uliona kwa Saoura tulipunguza mpaka 2??tarajia tutafanya vizuri zaidi,hofu yangu sio kufungwa nyingi ugenini hilo(kumbuka last final Esperance alipigwa 3-1 ugenini) hofu yangu ni uwezo wetu wa kupiga goli nyingi nyumbani(Esperance baada ya kupigwa 3-1 kwa al ahly akaenda kushinda kwake 3-0)
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie hao Giants 8Soura sio timu kubwa..kuna magiant 8 tu Afrika