Habari wapendwa!!!
Baada ya kushudia mtifuano wa Simba SC na As Vita Congo na Simba SC na kuibuka mshindi dakikia za 88 na Simba akiongoza mabao 2 Kwa 1 katika Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,
Baadhi ya watu walisapoti As Vita Congo japokuwa ni watanzania.
Kwasasa nawaona wakitafuta timu ya kuishabikia nyingine endapo CAF wakipitisha Duru za mchezo nani acheze na Simba SC.
Tafuta timu ya kushabikia kuanzia sasa kati ya hizi endapo akikutana na Simba SC.
1.TP MAZEMBE
2.WAYDAD CASABLANCA
3.ESPERANCE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI SIMBA,MUNGU WABARIKI WENYE CHUKI NA SIMBA,MUNGU IBARIKI AFRIKA MASHARIKI,MUNGU IBARIKI AFRIKA.