Nahisi kuna watu watahamia kati ya hizi timu duru likizungushwa kwa Simba SC:TP Mazembe,Waydad Casablanca na Esperance.



Mungu ibariki Wydad Casablanca wawe bingwa...hao mikia fyekelea mbali
 
Soura sio timu kubwa..kuna magiant 8 tu Afrika
 
Vyura wanachekesha sana. Wanaposhangila wageni halafu wanafungwa wananyong'onyea kama walitazama muvi ya kutisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…