Kumbe ni story yoyote tu waweza tunga..!! Maana mimi fresh from school ndomana nikakwama hapo. Wacha nikatunge story sasa.Kwani mjomba unakwama wapi??
Wewe kwenye maisha yako yote mpaka sasa hujawahi kwenda sehemu na kukuta system flani lakini baada ya kukaa hapo ulipoondoka ukaacha mabadiriko ambayo ni +ve..
Kama huna basi tunga hata ka story ka ulipoenda shule ya advance ulikuta team ya mpira iko disorgaized nk nk n.k
Mbona watanzania kipaji cha kisema uongo kipo damuni?? Wewe unatokea nchi gani??
hahah pole sana wajuvi wanakuja kukupiga tafumkuu nateseka kweli kweli
Kwani mjomba unakwama wapi??
Wewe kwenye maisha yako yote mpaka sasa hujawahi kwenda sehemu na kukuta system flani lakini baada ya ktk ww hapo ulipoondoka ukaacha mabadiriko ambayo ni +ve..
Kama huna basi tunga hata ka story ka ulipoenda shule ya advance ulikuta team ya mpira iko disorgaized nk nk n.k
Mbona watanzania kipaji cha kisema uongo kipo damuni?? Wewe unatokea nchi gani??
Next hii itakuwa point namba 1 kwenye swali kama lile.., shukrani mkuuWambie uliwahi kwenda kijiji fulani kilichokua kinapitiwa na mto wanakijiji wengi wanajihusisha na kilimo cha umwagiliaji. Mfumo wa umwagiliaji waliokua wanautumia haukua wenye ufanisi hivyo hawakupata mazao ya kutosha pia muda mwingi waliutumia shambani hivyo kushindwa kufanya shughuli nyingine za kimaendeleo.
Wewe uligundua changamoto hii ukabuni mfumo janja wa umwagiliaji wenye ufanisi hivyo wakulima walipata mazao mengi kipato kikaongezeka pia waliweza kujihusisha na shughuli nyingine za kimaendeleo.
Karibu tena mkuu.Next hii itakuwa point namba 1 kwenye swali kama lile.., shukrani mkuu