mtoto wa kipare
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 187
- 196
Mimin binti wa miaka 24 na nna mtoto mmoja wa kike namshukuru mungu kwa zawadi hii. Kinachoniumizana kunipa mawazo n kwamba nilipojifungua mwaka 2016 nilikuwa napata bleed kila baada ya wiki 2 ikanibidi kwenda hospital nikaambiwa kuwa nina uvimbe katika mayai ya upande wa kulia yaani (ovarian cyst) nkapatiwa tiba ila haikusaidia kabisa.
Hvyo nikshauriwa kutafuta specialist wa wanawake nikafanya hvyo kwa maspecialist kama watatu hivi lakini majibu n yale yale kwa uvimbe umekuwa ukiongeza hvyo madoctor wamenishauri kuwa nifanye lifuatalo.
Kwamba endap kama utafanyiwa operation kuondoa hilo tatizo ila inaweza ikasababisha kusumbua mfumo wa uzazi bdae,hvyo basi kama una mpango wa kuzaa jitahidi ubebe ujauzito ambapo utakuwa under care kwani tutakuwa tukiiusinyaisha ili mtoto aendlee kukuwa vzuri. Lakin kibaya zaidi n kwamba bado sijaolewa na siko katika uchumba na siko tayari kuja kukosa mtoto hapo bdae endapo mungu akiniweka hai. Na nimeambiwa nijitahid ndani ya huu mwaka nibebe ujauzito na uwezo w kuzaa n mtoto mmoja tu.
Kindly, nahitaji ushauri wenu tafadhali niko dilemma kwan nawaza san juu ya hili.
Nawasilisha kwenu wakuu!