Nahisi kuwa mnyonge sana, nahitaji ushauri kwa wenye ujuzi na hili

mtoto wa kipare

Senior Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
187
Reaction score
196
Mimin binti wa miaka 24 na nna mtoto mmoja wa kike namshukuru mungu kwa zawadi hii. Kinachoniumizana kunipa mawazo n kwamba nilipojifungua mwaka 2016 nilikuwa napata bleed kila baada ya wiki 2 ikanibidi kwenda hospital nikaambiwa kuwa nina uvimbe katika mayai ya upande wa kulia yaani (ovarian cyst) nkapatiwa tiba ila haikusaidia kabisa.

Hvyo nikshauriwa kutafuta specialist wa wanawake nikafanya hvyo kwa maspecialist kama watatu hivi lakini majibu n yale yale kwa uvimbe umekuwa ukiongeza hvyo madoctor wamenishauri kuwa nifanye lifuatalo.

Kwamba endap kama utafanyiwa operation kuondoa hilo tatizo ila inaweza ikasababisha kusumbua mfumo wa uzazi bdae,hvyo basi kama una mpango wa kuzaa jitahidi ubebe ujauzito ambapo utakuwa under care kwani tutakuwa tukiiusinyaisha ili mtoto aendlee kukuwa vzuri. Lakin kibaya zaidi n kwamba bado sijaolewa na siko katika uchumba na siko tayari kuja kukosa mtoto hapo bdae endapo mungu akiniweka hai. Na nimeambiwa nijitahid ndani ya huu mwaka nibebe ujauzito na uwezo w kuzaa n mtoto mmoja tu.

Kindly, nahitaji ushauri wenu tafadhali niko dilemma kwan nawaza san juu ya hili.

Nawasilisha kwenu wakuu!
 
Nakushauri fanya tiba. Kuzaa majaliwa. Na kwa sababu tayari una mtoto vumilia tu. Usibebe tena mimba bila kuwa na mume.
 
Pole sana, hamna kitu kizuri kwenye maisha kama furaha. Kwani furaha yako ipo wapi?
Ndoa(haina guarantee muda wa kuzaa unaeza kuisha) au Mtoto mwingine kabla ya ndoa?
 
Mimin binti wa miaka 24 na nna mtoto mmoja wa kike namshukuru mungu kwa zawadi hii. Kinachoniumizana kunipa mawazo n kwamba nilipojifungua mwaka 2016 nilikuwa napata bleed kila baada ya wiki 2 ikanibidi kwenda hospital nikaambiwa kuwa nina uvimbe katika mayai ya upande wa kulia yaani (ovarian cyst) nkapatiwa tiba ila haikusaidia kabisa.

Hvyo nikshauriwa kutafuta specialist wa wanawake nikafanya hvyo kwa maspecialist kama watatu hivi lakini majibu n yale yale kwa uvimbe umekuwa ukiongeza hvyo madoctor wamenishauri kuwa nifanye lifuatalo.

Kwamba endap kama utafanyiwa operation kuondoa hilo tatizo ila inaweza ikasababisha kusumbua mfumo wa uzazi bdae,hvyo basi kama una mpango wa kuzaa jitahidi ubebe ujauzito ambapo utakuwa under care kwani tutakuwa tukiiusinyaisha ili mtoto aendlee kukuwa vzuri. Lakin kibaya zaidi n kwamba bado sijaolewa na siko katika uchumba na siko tayari kuja kukosa mtoto hapo bdae endapo mungu akiniweka hai. Na nimeambiwa nijitahid ndani ya huu mwaka nibebe ujauzito na uwezo w kuzaa n mtoto mmoja tu.

Kindly, nahitaji ushauri wenu tafadhali niko dilemma kwan nawaza san juu ya hili.

Nawasilisha kwenu wakuu!
24 hujaolewa,watu wanapanda mbegu wanaondoka.unazidi kuongeza "ma single mazaz'
 
Umejaribu kutumia dawa hata za mitishamba nenda kwenye hospital kubwa kutana na dokta mtaalam..kuna dawa zipo za kuvuruga uvimbe..au nenda clinic wanazotumia mitishamba
 
Sawa Emmanuel nashukur kwa ushaur
 
Usihangaikie uhai wa ambaye huna uhakika kama atakuwepo kwa kuuweka rehani uhai wako.
Tibiwa kwanza hayo ya kuzaa ni majaaliwa.
 
Tafadhali sana Bint , wasikilize madaktari, tafuta mimba kwa namna yeyote , pata mtoto wa pili, then nenda upate matibabu aidha ya mitishamba plus medication then oparation. kama ni kuolewa ni majaliwa hata kama ungezaa 3 home na huzai tena bado mume unaweza kumpata.
 
Maadam unaye mtoto tayari sioni haja ya kuweka rehani maisha yako...kuhusu kuzaa bila hata kujua unazaa na nani mie siafiki hilo...jali afya yako kwanza mkuu
 
Pole sana binti mwenye mawazo ambayo kikweli yanavuruga. Jali afya yako Kwanza, mtoto ni majaliwa ya mwenyenzi Mungu. Mbona wapo wengi tu ambao hawana mtoto hata mmoja na wanaishi maisha mazuri!
Sikushauri ubebe ujauzito tena kwa hali uliyonayo kwa sasa. Laiti ungekua mke/mchumba wangu tu nisingekubali uendelee kuteseka hadi wakati huu. Nenda kapate tiba mapema iwezekanavyo, afya yako haina spea. Mawazo uliyonayo ukichukua ujauzito ni kusogeza kifo karibu
 
Mamy achana na mawazo ya mtoto wa pili kwanza,huyo uliyenae ni faraja tosha kwako,jitibie wewe kwanza bleed kila baada ya wiki mbili si mchezo,jali afya yako kwanza!(watoto ni zawadi tu ya ndoa)endapo utahitaji sana mtoto mwingine hapo baadae na usipate,unaweza kwenda kumchukua mtoto mdogo kwenye vituo vya watoto yatima ukamlea kwa mapenzi yote na Mungu atakubariki! Lkn suala la kuzaa kwa sasa achana nalo(unaweza ukazaa hata watoto 5 na Mungu akawachukua wote vile vile"am sorry")
 
Nashukuru my dea kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom