enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Unamaanisha Stan bakora?Kuna jambo limenichosha saana.
Kila tv, radio, socia media kila mtu stori ni Diamond na familia yake. Nimechoka bwana, mbona stori za macelebrity wengine kama Stani hazijatapakaa hivyo?
Watupumzishe kidogo.
Kuwa star Sasa....Kuna jambo limenichosha saana.
Kila tv, radio, socia media kila mtu stori ni Diamond na familia yake. Nimechoka bwana, mbona stori za macelebrity wengine kama Stani hazijatapakaa hivyo?
Watupumzishe kidogo.
naam mkuu namaanisha stan bakora au yeye sio celebrity?Unamaanisha Stan bakora?
tatizo kila mtu anang'ang'ania kumwandika diamond na stori nyingine ovyo kabisahuna jinsi pia huna uwezo wa kuamua unapata kinachopatikana sio unachotaka
ndio biashara.. ulitaka wamuandeke nani..Kuna jambo limenichosha saana.
Kila tv, radio, socia media kila mtu stori ni Diamond na familia yake. Nimechoka bwana, mbona stori za macelebrity wengine kama Stani hazijatapakaa hivyo?
Watupumzishe kidogo.
Yaani ni majinga kweli,yanapokuwa yanamtaja iwe kwa mazuri au mabaya huwa hawahisi kama wanampa promo.Hata hapa umetoletea stori ya mtu uliyemchoka, umeshatengeneza stori tayari, na bado hahahha.
Mkuu hawa Mbwiga mazafanta hata hawajui maana ya brand wamekalia utoto utoto na wivu wivu wa kingese.Diamond ametengeneza brand he is a commercial oriented ukilinganisha na wasanii wengine, anacheza na akili za watu na sio uchawi