Nahisi kuzichoka stori za Diamond na familia yake

Nahisi kuzichoka stori za Diamond na familia yake

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
Kuna jambo limenichosha saana.

Kila tv, radio, socia media kila mtu stori ni Diamond na familia yake. Nimechoka bwana, mbona stori za macelebrity wengine kama Stani hazijatapakaa hivyo?

Watupumzishe kidogo.
 
huna jinsi pia huna uwezo wa kuamua unapata kinachopatikana sio unachotaka
 
Kuwa star Sasa....
 
huna jinsi pia huna uwezo wa kuamua unapata kinachopatikana sio unachotaka
tatizo kila mtu anang'ang'ania kumwandika diamond na stori nyingine ovyo kabisa
 
mwenye wivu ajinyonge mama ,mwenye wivu ajinyonge, mwenye wivu ajinyonge kweli,mwenye wivu ajiiinyongeee,................ha ha ha huu msemo kumbe unawalenga wengi hivi ,mleta uzi kajitundike tu hapo hamna namna ya kukusaidia
 
Acha kusoma magazeti ya rangirangi, kwani kuna mtu anakununulia?
 
Kuna jambo limenichosha saana.

Kila tv, radio, socia media kila mtu stori ni Diamond na familia yake. Nimechoka bwana, mbona stori za macelebrity wengine kama Stani hazijatapakaa hivyo?

Watupumzishe kidogo.
ndio biashara.. ulitaka wamuandeke nani..
 
Diamond ametengeneza brand he is a commercial oriented ukilinganisha na wasanii wengine, anacheza na akili za watu na sio uchawi
Mkuu hawa Mbwiga mazafanta hata hawajui maana ya brand wamekalia utoto utoto na wivu wivu wa kingese.
 
Ningeona mna akili mngejaribu kuivalue hiyo account... mnaanza stori za sijui Justin Beiber. Yaani sababu kafanya kitu mzungu ndo mnaona ndo trend ya kuigwa...
 
Back
Top Bottom