James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,152
- 4,003
[emoji28]saa si nickname tu mkuu, kwan kuna ubaya?Tatizo linaanzia kwenye jina ulilojipachika.Mungu alishampa huyo pesa ndefu kupitia novel zake za upelelezi kwa hiyo wewe ukaonekana ulishashiba.Alile kaakoooo.
[emoji120]when some peoples live ends at 40 others start at 40,kikubwa malengo
Sidhani mkuuHao waliotoa ukiwashtukiza Wana akina ya 1 to 5 million cash?
[emoji120]mkuuFight your own battles, usijilinganishe na yeyote yule.
[emoji120]asante kwa ushauriPambana, miaka 25 bado kabisa.
We muheshimu kaka na familia yake wasije wakakufukuza bure.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kwny maisha hakuna kuchelewa wala kuwahi bro. Siku zote maendeleo ni hatua moja kwnda nyngne kiakil.kimwil na kiroho na si kujicompare na watu wengine...kuwa karibu na Mungu wako wekeza katika akili yako kila siku na kuwa boraa ww kama ww jiwekee malengo mafup SMART objective zipambanie uzifanikishe
Ubaya ni pale baraka zinakukimbia zinaenda kwa mwenye jina laka[emoji28]saa si nickname tu mkuu, kwan kuna ubaya?
Kwahiyo mkuu nitumie id orijino?Ubaya ni pale baraka zinakukimbia zinaenda kwa mwenye jina laka
Kwenye Maisha Hilo ni jambo la kawaida sana, muhimu kuwa na subra tu, utakuja kusahau yote hayo.Mpaka sasa nina miaka 25 ndio kwanza nipo Diploma mwaka wa kwanza semester ya 2 inaanza tarehe 4 Aprili 2022. Bado nakaa na kaka yangu japo nae ana familia yake.
Najihisi kama nimechelewa kuanza maisha vile, nimesoma kwa kuungaunga tu, washkaji na rafiki zangu niliomaliza nao sekondari mwaka 2014 wengi wao wameoa, wengine washaolewa.
Yaani nikionana nao au kupishana nao njiani ni aibu tu, bora tuishie kuchati tu kupitia aidha sms, WhatsApp, Facebook.[emoji2960] Nipo tu kama digidigi vile sina hili wala lile.
Hata akiba sina, siugui ovyoovyo. Siku nikitimuliwa home sijui itakuwaje[emoji22]. Japo Sir God analinda ile mbaya.