Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,803
Poleni sana!! Yaani kipindi zaidi ya miaka 35 mmekaa bila kujali kutunzwa leo kwakuwa kuna mafao mnatolea macho!! Sio poa, potezeeni tu.
Sharia ya ndoa inasema mtu akitelekezwa kwa miaka 7, au bila kujua mwenza yuko wapi ndoa hiyo inakuwa imevunjika!! Kidini ndoa haivunjiki lkn kisheria ndoa huvunjika.
Sasa miaka 35 ya bila kuwa kinyumba mi nadhani mbele ya sheria si ndoa tena hiyo.
Pesa ni maua zinaisha, msije mkauawa buree kwa pesa yenyewe chini ya 200M.
Mtieni moyo mama, ridhikeni na hali mliyoishi kwa kipindi chote hiki, ili muishi maisha marefu!!
Mungu awatie nguvu!!