Nahisi mama watoto watu wamemfanya vibaya

Nahisi mama watoto watu wamemfanya vibaya

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Duuuhhh! Mkuu nawe una roho ngumu, yaani pamoja na mkeo kutoa mavi yooote hayo kwa wiki nzima lakini bado ukazamisha ding dong lako tena loote! hahaaaaaa!
 
Pole sana kaka. Ongea na mkeo kwa utulivu na umakini. Mweleze wazi kuwa hupendi hiyo tabia.
 
Ni jambo linalonitatiza sana,naumia maana kama ni kweli kazibuliwa sijui ntafanyaje
 
Hana sifa tena za kuitwa mkeo huyo, fanya mipango mipya tu na mwanao.
 
Moja kati ya changamoto inayowakumba vijana ni kwenye harakati za kutafuta wenza....
 
Maisha yanachangamoto sana mkuu,kwasababu hamna ndoa nivizuri kutumia akili sana na kumuomba mungu akuongoze katika maamuzi
 
Back
Top Bottom