Ni galfrd wangu wa muda mrefu,alikua na kawaida ya kunipgia simu zaidi ya mara 3 kwa siku,siku za hvi karibuni ameanzsha tabia ya kun2mia txts mbili kwa cku,moja asubuh ya kunisabah na nyngne usiku ya kunitakia usiku mwema..hii tabia imeanza tangu jpili ambako tulikua na kamgogoro kadogo ingawa 2likasolve,sa tangu hapo mtoto ndo kawa hvo ten,sa najiulza kapata mwingne anae mpa maraha au ndo vp?
Senetor chukua huu ushauri uufanyie kaziUtamu wa raha kupeana,asa yeye alikuwa nakupigia tu siku zote ww hupigi inanoga kweli,unavyojisikia sasa ndivyo naye alikuwa akijisikia ulipokuwa hupigi,punguza presha na hisia mbaya,mtoto bado anakupenda sana tu,cha kufanya mrudishe kwenye mud kwa kumpigia simu bila kujali ni mara ngapi na kuongea naye maneno matamu,na kumwambia vile unamiss cm zake za mara kwa mara,na kuanzia hapo upunguze umwinyi wa kusubiri kupigiwa simu!