Nahisi mapenzi yake kwangu yamepungua kama co kuisha kabisa.

Nahisi mapenzi yake kwangu yamepungua kama co kuisha kabisa.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Ni galfrd wangu wa muda mrefu,alikua na kawaida ya kunipgia simu zaidi ya mara 3 kwa siku,siku za hvi karibuni ameanzsha tabia ya kun2mia txts mbili kwa cku,moja asubuh ya kunisabah na nyngne usiku ya kunitakia usiku mwema..hii tabia imeanza tangu jpili ambako tulikua na kamgogoro kadogo ingawa 2likasolve,sa tangu hapo mtoto ndo kawa hvo ten,sa najiulza kapata mwingne anae mpa maraha au ndo vp?
 
kwa nini usimuulize?
lakini kwa vile mligombana bas mwenzako uenda ajarud kwenye mud bado...reffer to icho mlichogombania..

bt km yeye apg kwani ukipiga wewe kuna madhara kaka?
au umezoea yeye ndo wa kukupigia daily\/

km ulimboa basi ni wakat wako kumpigia pigia kila mda..KUMBEMBELEZA kdg..au ukipiga apokei?
km apokei basi io ni kes ingne lakin km unajitegesha tu et unasubiri upigiwe mjomba mmhh i doubt....

mpigie... siku mbili kuchuniwa ndo ushawaza mawazo makubwa ivo wakt unajua kabsa bibie ulimkorofsha?....PIGA HARAKA SANAAAAA...nw nww nisikie sawasawa????????????

nakusikilizia...
 
Inategemea senetor kama na wewe ulikuwa unareciprocate equally otherwise kama ilikuwa ni yeye tu wa kukupigia kachoka huyo
 
Akili ni kma gari halichanganyi mara moja, kama mliboana mpe time ya kujirudi na wewe unapaswa kula catalyst wa kumrudisha kwenye mudi.
 
Ondoa BP Senetor,anatingisha kibiriti ajue kama kime jaa siunajua mie wanawake tunapenda kudeka,muongeze rahaa akijue cheo chake kwako..
 
Kama mlima hauwezi kwenda kwa Muhamad basi Muhamad si aende kwa mlima?
 
mpe muda tu,na kama vipi,mpigie simu yeye,sio ufanyiwe wewe tu
 
senetor,hii kali ugomvi jumapili jumatano tayari ana boyfriend?hiyo mbona inazidi hata ya landcruiser?
 
Penzi ni kama jidubwasha lenye uhai!huzaliwa,hukua,hukomaa,huzeeka na mwisho hufa,,,,,,get ready!
 
labda alikua anataka njia ya kutokea na kaiona................MULIKA MWIZI
 
Utamu wa raha kupeana,asa yeye alikuwa nakupigia tu siku zote ww hupigi inanoga kweli,unavyojisikia sasa ndivyo naye alikuwa akijisikia ulipokuwa hupigi,punguza presha na hisia mbaya,mtoto bado anakupenda sana tu,cha kufanya mrudishe kwenye mud kwa kumpigia simu bila kujali ni mara ngapi na kuongea naye maneno matamu,na kumwambia vile unamiss cm zake za mara kwa mara,na kuanzia hapo upunguze umwinyi wa kusubiri kupigiwa simu!
 
he sasa mwanaume unangoja upigiwe au umepiga hakupokea
ulimpa hela ya vocha au unalialia tu huk JF
halafu unaonekana umeshazoea vya mdebwedo piga we kidume + ndevu bwana
mwanaume hasifiwi kupigiwa anasifiwa kupiga .....
 
kwani huwa unamuwekeaga vocha? unaweza ukawa unalaumu kumbe mwenzio amefulia, mtumie vocha uone kama hatakupigia,
 
Huna sababu ya kumfikiria hivyo...ngoja hasira zipoe atarudi kwako...usisahau kumpa nyama ya ulimi...
 
Pole ulizoea mteremko sasa zamu yako kupanda mlima mpigie wewe sasa ndio zamu yako,yeye zamu ya kuteremka mlima tena piga kutwa mara 5 kama lishe ya mtoto mdogo na ikibidi kumtoa out kila jioni kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida.
 
Ni galfrd wangu wa muda mrefu,alikua na kawaida ya kunipgia simu zaidi ya mara 3 kwa siku,siku za hvi karibuni ameanzsha tabia ya kun2mia txts mbili kwa cku,moja asubuh ya kunisabah na nyngne usiku ya kunitakia usiku mwema..hii tabia imeanza tangu jpili ambako tulikua na kamgogoro kadogo ingawa 2likasolve,sa tangu hapo mtoto ndo kawa hvo ten,sa najiulza kapata mwingne anae mpa maraha au ndo vp?

Badili tabia kwa sasa uwe unampigia wewe kutwa mara 3
 
Utamu wa raha kupeana,asa yeye alikuwa nakupigia tu siku zote ww hupigi inanoga kweli,unavyojisikia sasa ndivyo naye alikuwa akijisikia ulipokuwa hupigi,punguza presha na hisia mbaya,mtoto bado anakupenda sana tu,cha kufanya mrudishe kwenye mud kwa kumpigia simu bila kujali ni mara ngapi na kuongea naye maneno matamu,na kumwambia vile unamiss cm zake za mara kwa mara,na kuanzia hapo upunguze umwinyi wa kusubiri kupigiwa simu!
Senetor chukua huu ushauri uufanyie kazi
 
Back
Top Bottom