Jamani😂😂😂Sijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema ulibakwa
Nilitaka niseme piaKumbe JF ni kubwa sana. Mkuu Pipa ndio nakuona sahivi yaan..
mana kukaa meza moja na elon mask na kunisikiza na kutii nilichoongea si swala dogo ni akili kubwa kweri kweri[emoji2960]Na kama wangekuwa wanachukua tuzo naamin mwaka huu ningechukua tuzo ya mpigwa block na members wenzake, na huwa sijuagi nakosea wapi mpaka members kunipiga block, cha kushukuru sijawahi pigwa banned toka nijiunge jamiiforums ila ajabu wanachama wenzangu wa mtandao huu ndio wanaoongoza kunipiga block mpaka sasa nimepigwa block na members wapatao 96 vipi wakuu nakosea wapi?
Au mi ni genious vichwa panzi wanaona sio level zao mniambie pengine naweza kuhama dunia na kwenda kuanzisha ulimwengu wangu na kuchukua magenios wenzangu, mana kukaa meza moja na elon mask na kunisikiza na kutii nilichoongea si swala dogo ni akili kubwa kweri kweri
Humjui huyu?ana maneno yake yanahitaji laundry machineKumbe JF ni kubwa sana. Mkuu Pipa ndio nakuona sahivi yaan..
sizungumzii banned za mods nazungumzia block aka ile hali mtu anakuzuia au kujizuia asione comment zakoHujamzidi mdudu wa bunju aka penseli4 aka YE67NBE aka TOM BANENI aka lamekiAgustino
Kiukweli simjui ndyo namuona hapaHumjui huyu?ana maneno yake yanahitaji laundry machine
ee bhana eeh kwahy ndio umenisoma leo ok naona umenipa fursa muhimu sana ngoja nijitambulishe kwa majina naitwa mr pipa aka nabii wa mikeka isiyo lost ukitaka kunipata mm njoo jukwaa la siasa, hoja mchanganyiko pamoja na la tunda kimasikhara, mara nyng nipo jukwaa la michezo hususan kwenye uzi wetu pendwa wazee wa mikeka kule hakuna members asie nijua labda uwe mgeni ni bigwa wa kutoa odd kubwa kubwa kuanzia laki na zina win, hakuna kiongoz wa nchi hiyi asie nijua iwe rahis mpaka baloz wako asante kwa kunisikiliza usisahau naitwa mr pipaKumbe JF ni kubwa sana. Mkuu Pipa ndio nakuona sahivi yaan..