Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaonaje kwani? Maana tukuulize umeonaje km wamekublock?sizungumzii banned za mods nazungumzia block aka ile hali mtu anakuzuia au kujizuia asione comment zako
pale juu umesoma pana watu wangapi mkuu? Bas na wewe utakuwa wa 97 mana ninavyosema nablockiwa na wana sababu moja wapo ndio hiyi andaa kitufe cha block narud nowMajibu yako paragraph ya mwisho hapo mwanangu.We kichwani zilikimbia
We-msengesanasimu yangu inauwezo mkubwa saana inaangalia hadi roho yako inavyotaka kuni block
tatizo simu ninayotumia ni ya mwaka 2050 kwahy ni rais tu naona kupitia yule mtu akin koment nitaona avatar yake na pale mbele pameandikwa unblock na kwa chini nitaona uwanja empty hauna maandish na nikisema ni mqoute coment yake kwangu niki print maneno afu nika post kwangu itajionesha uwanja mtupu usio andikwa afu chini itajiandika ni mtu wa ngapi katika hiloWewe unaonaje kwani? Maana tukuulize umeonaje km wamekublock?
Mbona ulichokiandika hakieleweki? Na Mimi nakublocktatizo simu ninayotumia ni ya mwaka 2050 kwahy ni rais tu naona kupitia yule mtu akin koment nitaona avatar yake na pale mbele pameandikwa unblock na kwa chini nitaona uwanja empty hauna maandish na nikisema ni mqoute coment yake kwangu niki print maneno afu nika post kwangu itajionesha uwanja mtupu usio andikwa afu chini itajiandika ni mtu wa ngapi katika hilo
We-msengesanasaaana mkuu ukumbuke mi ni oili chafu ukitia tope nabaki vile vile sa sijui we shat jeupe umejipangaje
Mimi ni Mtabibu so kudeal na watu kama nyienawezapale juu umesoma pana watu wangapi mkuu? Bas na wewe utakuwa wa 97 mana ninavyosema nablockiwa na wana sababu moja wapo ndio hiyi andaa kitufe cha block narud now
kueleweka mi ni ngumu ukitumia akili ya 5g ya kwenye minara, kunielewa mm inaitajika utumie setelait ya elon mask starlink ndio mana nasema wanaonielewa humu angalau uwe na degree za quba tatu na anaenielewa mm jua chuo kasomea u.s.aMbona ulichokiandika hakieleweki? Na Mimi nakublock
I agreeHumjui huyu?ana maneno yake yanahitaji laundry machine
Nakujibu tu freshsawa mwenzako kani block sio muda hapo juu kwangu inaonesha wa 97 ngoja nikuongeze angalau mfunge hesabu,asa mkuu mi niko na swali hapa sijui unaweza nijibu?
Mkuu tafuta namna ya kuzikabili huo Msongo wa mawazo unaosababishwa na Upweke.sawa mwenzako kani block sio muda hapo juu kwangu inaonesha wa 97 ngoja nikuongeze angalau mfunge hesabu,asa mkuu mi niko na swali hapa sijui unaweza nijibu?
Aisee😂Sijasoma mada ila nimesikitika sana hasa hapo uliposema ulibakwa