Nahisi mke mwenzangu anachepuka

Mtumie video yako ukiwa na mwanamke mwingine mnapeana kiss hapo na yeye ata kasirika atakutumia ya kwake na mwanaume mwingine kisha case closed.
 
Wewe smartphone hauijui kwa umbea?.unaandika neno lingine linakuja lingine
 
Watu wa ofisin wanapigwa asubuhi wanapowahi kazin au mchana Wakat wa lunch au wakisafir kikaz. Lakini usiishi kwa kuhic mtu utakufa umuachie watu.
 
Kwani anachelewa kila siku huko kazini? Jaribu kufika kazini kwao na uulize, pia kaa naye mchimbe mkwara kiasi kama kaanza tabia mbaya ataacha.
 
Una mke mwenzako halafu umeoa? Duh
 
Speculation ni kitu mbaya sana kwenye mahusiano hasa ndoa. Za mwizi arobaini, huwezi kucheat siku zoooote pasipo kukamatwa, ipo siku tu anayecheat anakamatwa.

Ukishakuwa na uhakika unaweza kuchukua hatua
 
Hasa hasa nyakati za kuingia wikendi kuanzia alhamis mpaka jumamosi hizo siku tatu ajaribu kuangalia huo utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…