Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Joined
May 29, 2020
Posts
11
Reaction score
54
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa.

Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.

Nitumie rafiki zake kufatilia

Au niende kikomando

1643093360570.png
 
Au ndo ww juzi video yako ilivuja uko uvungini kwa yule bint mtangazaji unaonja ladha ndo umegundua sasa imebadilka
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Kwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Usije kuta mkeo keshaingia kwenye uteja wa kutumia chupa ya Mirinda,chunguza kwa makini sana!!
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Achana na hizo habari za kumfuatilia km unataka kuishi maisha yasiyo ña stress!
 
Back
Top Bottom