FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lakini mawaidha fulani fulani katika hii platform yamenijenga kiasi.
Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahisi litanipa jakamoyo, huu mzigo umekua mzito sana kifuani kwangu.
Siku za hivi karibuni nimejikuta katkika ugonvi na huyu mpenzi wangu wa sasa sababu kubwa nilihisi nikiwa mbali na home anashiriki mapenzi na mtu ambaye anaukaribu naye, huu ugomvi ulikuwa baina ya mimi na yeye hatuna siku nyingi hivyoo.
Sasa leo tena kakosea sijui kutuma hii meseji, kiukweli mimi sijui kama kweli nilikuwa mlengwa, maana nimemind sana leo ndiyo kunambia eti ni typing error.
Kwa mazingira yaliyopo hivi hii text mimi nilikua mlengwa kweli? Nimejikuta nina huzuni sana π₯Ί.