Nahisi mpenzi wangu ananisaliti, ninaweza kupata sonona siku si nyingi

FlyingDutchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
399
Reaction score
794
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lakini mawaidha fulani fulani katika hii platform yamenijenga kiasi.

Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahisi litanipa jakamoyo, huu mzigo umekua mzito sana kifuani kwangu.

Siku za hivi karibuni nimejikuta katkika ugonvi na huyu mpenzi wangu wa sasa sababu kubwa nilihisi nikiwa mbali na home anashiriki mapenzi na mtu ambaye anaukaribu naye, huu ugomvi ulikuwa baina ya mimi na yeye hatuna siku nyingi hivyoo.

Sasa leo tena kakosea sijui kutuma hii meseji, kiukweli mimi sijui kama kweli nilikuwa mlengwa, maana nimemind sana leo ndiyo kunambia eti ni typing error.

Kwa mazingira yaliyopo hivi hii text mimi nilikua mlengwa kweli? Nimejikuta nina huzuni sana 🥺.
 
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lkn mawaidha fulani fulani ktk hii platform yamenijenga kias

Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahs litanipa jakamoyo huu mzigo umekua mzito sana kifuani kwangu

Siku za hiv karibuni nimejikuta katkika ugonvi na huyu Mpenzi wangu wa sasa sababu kubwa nilihs nikiwa Mbali na hom anashirik Mapenzi na mtu ambaye Ana ukaribu nae, huu ugomvi ulikua baina ya mm na yy hatuna sku nyingi ivoo,

Asa Leo Tena kakosea sijui kutuma hi meseji , kiukweli mm sjui Kama kweli nilikua mlengwa mana nmemind sana Leo ndo Kunambia ety ni typing error

Meseji yenyewe ni hii View attachment 2453978

Kwa madhingira yaliyopo hivi hi text mm nlkua mlengwa Kweli?
Nmejikuta nina hudhuni sana [emoji3064]
Buloo kakojoe hulale nahona huna hudhuni sana, ameshaliwa tayari siho wako peke yako
 
Wewe na mpenzi wako mjifunze kwanza kuandika kiswahili fasaha Kisha muanze hayo mahusiano upya.

Nakereka nikiona vijana mnaotegemewa kesho muendeshe familia ila kuandika tu hamuwezi, mtawafunza nini watoto wenu?
 
Out of nowhere, kuna siku nilishawahi tumiwa text inasema "I love you too" , situation yako naielewa kaka, hapo jiandae kupewa maelezo ya uongo
Mkuu ndicho nilichoambiwa kua hi text mm ndo mlengwa, lkn how come from no where hatujazungumza hiyo mada natumiwa hii text 🥺
 
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lkn mawaidha fulani fulani ktk hii platform yamenijenga kias

Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahs litanipa jakamoyo huu mzigo umekua mzito sana kifuani kwangu

Siku za hiv karibuni nimejikuta katkika ugonvi na huyu Mpenzi wangu wa sasa sababu kubwa nilihs nikiwa Mbali na hom anashirik Mapenzi na mtu ambaye Ana ukaribu nae, huu ugomvi ulikua baina ya mm na yy hatuna sku nyingi ivoo,

Asa Leo Tena kakosea sijui kutuma hi meseji , kiukweli mm sjui Kama kweli nilikua mlengwa mana nmemind sana Leo ndo Kunambia ety ni typing error

Meseji yenyewe ni hii View attachment 2453978

Kwa madhingira yaliyopo hivi hi text mm nlkua mlengwa Kweli?
Nmejikuta nina hudhuni sana [emoji3064]
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.
 
Wewe na mpenzi wako mjifunze kwanza kuandika kiswahili fasaha Kisha muanze hayo mahusiano upya.

Nakereka nikiona vijana mnaotegemewa kesho muendeshe familia ila kuandika tu hamuwezi, mtawafunza nini watoto wenu?
Nisamehe sana mkuu mm Kiswahili nmejifunza darasani yy pia ni foreigner, lkn kingereza pia mada isingewafikia walengwa vzuri nahtaji msaada ktk hili
 
Wewe na mpenzi wako mjifunze kwanza kuandika kiswahili fasaha Kisha muanze hayo mahusiano upya.

Nakereka nikiona vijana mnaotegemewa kesho muendeshe familia ila kuandika tu hamuwezi, mtawafunza nini watoto wenu?
Ndio maana serikali inataka elimu ya msingi iishie kidato cha nne , labda itapunguza kundi la vijana wasoweza kuandika kwa ufasaha.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Kama ana smartphone msamehe huyo,hizi smartphone ukiiseti automatic spelling correction hayo ndo matokeo yake; yeye alimaanisha kuandika unadhana sasa nadhani simu yake anatumia sana neno anadhani hivyo ikaji-auto correct.
 
Buloo kakojoe hulale nahona huna hudhuni sana, ameshaliwa tayari siho wako peke yako
Don't worry pal, i know you are trolling my Swahili, at least you should know it took me 7 years to write like that,

It wasn't easy!
 
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lkn mawaidha fulani fulani ktk hii platform yamenijenga kias

Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahs litanipa jakamoyo huu mzigo umekua mzito sana kifuani kwangu

Siku za hiv karibuni nimejikuta katkika ugonvi na huyu Mpenzi wangu wa sasa sababu kubwa nilihs nikiwa Mbali na hom anashirik Mapenzi na mtu ambaye Ana ukaribu nae, huu ugomvi ulikua baina ya mm na yy hatuna sku nyingi ivoo,

Asa Leo Tena kakosea sijui kutuma hi meseji , kiukweli mm sjui Kama kweli nilikua mlengwa mana nmemind sana Leo ndo Kunambia ety ni typing error

Meseji yenyewe ni hii View attachment 2453978

Kwa madhingira yaliyopo hivi hi text mm nlkua mlengwa Kweli?
Nmejikuta nina hudhuni sana 🥺
Madhingira ❌ Mazingira ✅
Hudhuni ❌ Huzuni ✅

Back to the topic,
Huwezi mdhibiti mtu akitaka kucheat! Ila unaweza dhibiti hisia na akili yako ktk kupokea tukio hilo.

Halafu hiyo text mbona kama imetumwa makusudi kwako ila ktk namna ya kuifanya ionekane imekosewa ili kukuaminisha kuwa hajafanya mapenzi na mtu mwingine?
 
Mwenye kutaka kufanya lake atalifanya tu, hata umlinde vipi.

Kama unampenda kiasi cha kutoweza muacha basi wewe usimfuatilie, maana ni wazi hutoweza muacha hata ukikuta anakusaliti.

Kama hafanyi mchezo mbaya mbele yako na anakupa haki yako basi kubali kuwa hayo ndio majaaliwa yako na usitake kuchunguza zaidi.

ila daima katika mapenzi ni bora upendwe zaidi kuliko unavyopenda wewe. Kinyume na hapo huwa ni mateso tu.

kila la heri mkuu na kumbuka maisha yako yanathamani kubwa kuliko hisia zako. Usiruhusu hisia zako kuwa mateso. Mapenzi yanapaswa yawe ni chachu ya furaha, hisia yeyote kinyume na furaha basi hayo ni mateso.
 
Thanks for your correction, it will inculcate how i comprehend Swahili,
You know it's not like i have feable mind but najaribu kufikia level of perfection nzuri ktk kukiongea na kuandika..
Madhingira ❌ Mazingira ✅
Hudhuni ❌ Huzuni ✅

Back to the topic,
Huwezi mdhibiti mtu akitaka kucheat! Ila unaweza dhibiti hisia na akili yako ktk kupokea tukio hilo.

Halafu hiyo text mbona kama imetumwa makusudi kwako ila ktk namna ya kuifanya ionekane imekosewa ili kukuaminisha kuwa hajafanya mapenzi na mtu mwingine?
 
Uchunguzi ukikamilika na kugundua hayo yana ukweli [emoji817] basi piga Chini! Usishindane na Mwanamke
 
Back
Top Bottom