Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Joined
Jul 12, 2023
Posts
79
Reaction score
299
Mume wangu aliponichoka.

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]

Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau weeks kadhaa kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.
 
Mkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau kidogo kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.
Kiukweli hamna wa kunisaidia..kwanza kwao anaenda kwa bahat mbaya labda Christmas.. otherwise haend kabisa...lakin Mimi pia si muwaz Sana..siwez kumshirikisha mtu
 
Kiukweli hamna wa kunisaidia..kwanza kwao anaenda kwa bahat mbaya labda Christmas.. otherwise haend kabisa...lakin Mimi pia si muwaz Sana..siwez kumshirikisha mtu
Kadri unavyokaa na kitu moyoni ndivyo kinavyokutafuna taratibu. Kama wewe ni mtu wa kanisani, basi tafuta hata mama mtu mzima mwenye staha umsimulie at least kifua kipumue na anaweza kukupa maneno mawili matati yatakayokufaa. Usijitafutie ugonjwa wa moyo. You're too young to die of heart attack.
 
Am really serious...
Mi sio mtalaamu ila nahisi:

1. alikupendea muonekano,
2. mlidate muda mfupi,
3. mmeoana umri bado mdogo,
4. hamjapata mtoto (au watoto wa kuwaweka busy),
5. we ni mama wa nyumbani.

temporary solutions:
1. tafuta kazi
2. weekend toka out su jumapili toka umependeza ata uende kanisani
3. jipende usikae home kama upo hostel
4. usimkumbushe majukumu yake atajua mwenyewe

oya mi sio mtaalamu ila Pole.

Mi team Kataa Ndoa
 
[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]

Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
 
[emoji23]
 
Vaseline Bado ni Bei kubwa, paka ya Nazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…