Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Unakua unamuheshimu kama kawa. We unakua unafanya yako tu.

Si wanaume wengi tuna controlling nature tunataka control mtu kama TV.

Na step ya kwanza ya controlling man ni kukata source zako za income ili uwe dependant, ya pili anaanza kukuchagulia nani ww kuchat nae na nani uwasiliane nae, ya tatu anaanza control simu yako, nini cha kuvaa, wapi pa kwenda.. na hauwezi fanya kitu kwasababu ametimiza ile ya kwanza.

Kwahiyo cha kwanza jitoe hapo namba moja, tafuta kazi au shughuli ata ya kukuweka busy ata kama home pana space anza kufuga, kama space ndogo anza biashara ya maua au miche, yaan just be busy ukipata maokoto ukaanza shine jamaa atatuma mahali tena kwa wakwe.
Pana wengine hawajitambui,Kama anatembea uchi je aachwe,anarudi usiku saa tano kalewa aachwe tu,ukiamua kuolewa achana na maisha ya msimbe yaan usingle,maliza kwanza ujana ndipo uingie kwenye ndoa ili usichanganye mambo.
Nadharia ya sababu sina kipato thus ananinyanyasa ni kimbilio tu la wanawake wasiowatii waume zao
 
Dear bongo dili..Yan mi nliacha adi kazi[emoji1787] ili tu kumridhisha baba sweetie..as alisema nikienda job Nani atatake care of his house..Yan am a full time house wife[emoji4][emoji4]
..mind you nimeokoka kabisa...Mimi Ni born again Christian[emoji17]
 
Back
Top Bottom