Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mkuuu nimecheka sana,

Huyo amepata alienenepa ndio maana anakuletea ujinga,weeee vumilia tuu nguvu zikimuisha atarudi tuu hapo kwako,,,
 
Take a break au KATAA NDOA
 
Unajiskiaje ukiniambia maneno Kama haya muda ambao nahitaji faraja?[emoji4][emoji4]...are you perfect?..upo straight to that comment as if you are sure of what you are saying...binti sayuni this that..wokovu wako ukusaidie in Jesus name..usiwe wa kuimba quotes za biblia Bali wa kuyaishi matendo mema...mh??
 
[emoji4][emoji4][emoji4]Zamda, thanks...
 
Da pole dada yangu mungu akutie nguvu mapito tu hayo
 



Ni wewe kusema kama hukuyafanya hayo Au uliyafanya.
Ni rahisi sana.

You are 100% responsible of your life @ Mama,

Nimejifunza kutotegemea faraja za Wanadamu.

Get matured enough.

Kupitia mambo Kama hayo tunajifunza.

Baada ya muda utakuwa mtu mwingine asieumizwa na mambo madogo madogo yasozuru uhai wake.
 
Ndoa ni kwaajili ya wanawake na wanaume dhaifu na wajinga. Siyo kukonda tu mwisho wa siku mtauana kabisa.
#KATAANDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…