Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mume wangu aliponichoka.

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]

Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Ni mapito, naye ni binadamu Kuna stress anapitia , muombee
 
Akufukuzaye hakwambii toka, jiongeze!!
 
Kweli kakuchoka na kuna anayempa raha sana, laiti mke wangu angeyataka hayo hata kinafki ningemshukuru Mungu.
 
Mume wangu aliponichoka.

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]

Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Mnaambiwa muoge hamtaki.Haya sasa.
 
Back
Top Bottom