Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Sina mdomo[emoji4] mi Ni kamzungu flan mahaba tu Ila nakula za uso[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wataalamu wanasema times heal,we timiza majukumu yako yampasayo mke kwa mume,usimpe sana attention huwezi jua yapi anapitia ofisin kwake,achilia nafsi yako kula vizur,toka out na watoto wako,weka attention Zaid kwa watoto.
Usifanye kosa kubwa la kipumbavu litakalokugharimu la kutafuta wa kuchat chat nae wa nje ili eti uondoe stress, shetani ana nguvu.
Amini hio ni situation ya muda tu.
Lipa ubaya kwa jema.
Wakamate ndugu na wazazi wake ukishawaweka mkononi mume hana nguvu yeyeto.
Ndoa smooth ni chache sana ni za wale matured pekee.
 
Asante sana
 
[emoji23]
 
Acha kumfatilia fanya mambo mengine utakufa kwa stress bure unavyozidi kungangania akupende ndo unazidi kumpoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…