Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani.
 
kuna kitu umesahau hapo.
Unampenda
 
Umenifurahisha sana kusema kua umeokoka...ubarikiwe sana na kama kweli umeokoka utafahamu jinsi gani ndoa na maisha kwa ujumla ya wapendwa yanavyopigwa vita na shetani!!

Kitu unachokosea ni kumpa binadamu mwenzio nafasi zaidi ya Mungu wako aliekuumba!!


Umejishusha sana kwake adi sio poa...mpe nafasi, fanya mambo yako tumia muda wako mwingi kumtafuta Mungu...yeye zidi kumuheshimu na kumpenda kama mume... Ila katu usiforce mambo!!

BALI UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MUNGU NA NGUVU ZAKE NA MENGINE YOTE MTAZIDISHIWA....!!!
 
Kama kaokoka mkumbushe atembelee hii

Wakosai 3:18-19

Aache mambo ya kupenda Mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…