Nawaita wazee woote wa CHIT CHAT mnao jua mambo ya Astrodienst Horoscope na Astrology
ili mniambie kwanini nafsi yangu inatamani kufanya jambo nisilo lijua?
kuanzia juzi naota ndoto sio mabaya wala sio nzuri,sio tam pia sio chungu nindefu lakini ina mwisho inafurahisha pia inahuzunisha ni ndoto ambayo inanitokea si mchana ama usiku
naogopa kuchukua maamuzi yoyote maana sijajua kama ninatatizo ama sina
Bishanga na MziziMkavu najua mtakuwa na neno la kuniambia ila pia kuna doctors kama Lady doctor na wengine wa kule jf doctor mnaweza kunitabiria haya mambo sina uhakika kama Baba V na manoah wamefikia level ya kutabiri ila kama wamefikia nao wahusike
dada zangu woote King'asti Arabela na wengine nawaomba nanyi mtazame mizimu ya akina babu na akina bibi wa kushoto na kuume kama kuana tatizo basi mtanijuza ilia tuone kama tuna tambikia ama la!!
UTABIRI WANGU NI HUU: ndugu yangu hakuna mtu aliyeota kitu kikafika mwisho ukiota tu unazinduka toka usingizini na ukiona umeota na ile ndoto imefika mwisho jua kuwa mwisho wako wa kuishi DUNIAANI umekaribia na siku ya kuondoka duniani, ukitaka kujua zaidi waulize wale waliotangulia mbele ya haki waliokufa watakwambia kama umefiwa na ndugu zako
naanza kukusoma ngoja nimuulize hayati anaweza nitengulia hili li-kitendawiliUTABIRI WANGU NI HUU: ndugu yangu hakuna mtu aliyeota kitu kikafika mwisho ukiota tu unazinduka toka usingizini na ukiona umeota na ile ndoto imefika mwisho jua kuwa mwisho wako wa kuishi DUNIAANI umekaribia na siku ya kuondoka duniani, ukitaka kujua zaidi waulize wale waliotangulia mbele ya haki waliokufa watakwambia kama umefiwa na ndugu zako
tena nataka nifanyiwe maombi na Lady doctor anagalau naweza ponakafanyiwe maombi! Bujibuji njoo
fanya hivyo mheshimiwa afu umerudi lini toka ntwara ?
afu wewe nani kakuambia jini maimuna halitibiwi hospital ? tena wewe ukipitaga mbele yangu ndo ugonjwa unaongezeka kabisa.
UTABIRI WANGU NI HUU: ndugu yangu hakuna mtu aliyeota kitu kikafika mwisho ukiota tu unazinduka toka usingizini na ukiona umeota na ile ndoto imefika mwisho jua kuwa mwisho wako wa kuishi DUNIAANI umekaribia na siku ya kuondoka duniani, ukitaka kujua zaidi waulize wale waliotangulia mbele ya haki waliokufa watakwambia kama umefiwa na ndugu zako
sijui nikunenee neno.
Nawaita wazee woote wa CHIT CHAT mnao jua mambo ya Astrodienst Horoscope na Astrology
ili mniambie kwanini nafsi yangu inatamani kufanya jambo nisilo lijua?
kuanzia juzi naota ndoto sio mabaya wala sio nzuri,sio tam pia sio chungu nindefu lakini ina mwisho inafurahisha pia inahuzunisha ni ndoto ambayo inanitokea si mchana ama usiku
naogopa kuchukua maamuzi yoyote maana sijajua kama ninatatizo ama sina
Bishanga na MziziMkavu najua mtakuwa na neno la kuniambia ila pia kuna doctors kama Lady doctor na wengine wa kule jf doctor mnaweza kunitabiria haya mambo sina uhakika kama Baba V na manoah wamefikia level ya kutabiri ila kama wamefikia nao wahusike
dada zangu woote King'asti Arabela na wengine nawaomba nanyi mtazame mizimu ya akina babu na akina bibi wa kushoto na kuume kama kuana tatizo basi mtanijuza ilia tuone kama tuna tambikia ama la!!
nipe jina lako kamili nifwanye mambo yangu !!!ila ndoto ni mkunganyiko wa majanga mengi hebu pitia majanga yako yote??