Nahisi nafsi inanisukuma kufanya jambo.

nipe jina lako kamili nifwanye mambo yangu !!!ila ndoto ni mkunganyiko wa majanga mengi hebu pitia majanga yako yote??
Nivea naitwa Slave matunange bin atalele nokumwega wanjora mono mwana achelaliodeking'wee naishi nchini jamiiforum wilaya ya chit-chat
 
Last edited by a moderator:
Nimerudi juzi aisee na nimegundua gesi itatoka hata kwa bluetooth, ccm wamepania bora waue chinga wote ila gesi itoke ntwara

haah siwaliwafukuza dar na wakawaita wachuuzi wa bidhaa ndogo ndog kuwa ni machinga ? waambie wawaachie gesi yao haraka ama sivyo wawarusu warudi dar tena.
 
huyu mtumishi simtaki maana kama ni mapepo nahisi nayapenda tu hivyo hivyo

wee! Ushindwe na ulegee kabisa tena sehemu zote... Utayakumbatiaje mapepo wakati watumishi wapo?
 
pole sana! Wanataka ugeuzwe uwe MSUKULE,alfu kuna lugha umechanganya hapo juu!! Ngoja nimuulize tena mtaalamu hapa anijuze umeongea nini
 
pole sana! Wanataka ugeuzwe uwe MSUKULE,alfu kuna lugha umechanganya hapo juu!! Ngoja nimuulize tena mtaalamu hapa anijuze umeongea nini
Yegoo wasu wapi hapo nilipo changanya inawezekana matatizo yanaendelea kuongezeka
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia huyo lady doctor anamume ? maana kama ni ugonjwa nahisi sasa unanitumikisha
 
hivi punde nilikuwa kijijini kwa akina bishanga nikakutana na huyu mzee nami bila kinyongo nikamwambia tatizo langu mwanzo mwisho

yeye akanieleza kuwa ugonjwa nilio nao tiba yake anayo Lady doctor na kweli kulingana na maelezo ya mtaalamu huyu kaniusia sana nifanye niwezalo kuhakikisha nakuwa karibu na huyoo mlengwa hivyo basi Mwenyekiti Baba V ninahitaji huruma yako juu ya kuvunja chungu cha zamani nifinyange kipya
Mamndenyi husika hapo kunitengenzea njia ili mwenzenu ninusurike na hili janga.
 
Last edited by a moderator:
aka nani anapenda kesi,
hata mtikila mwenyewe zilimshinda

 
Hapo kwenye bold lines usiwatafute graduates Muhimbili we nenda zako makaburini, kama makaburi yenu hayako strong nenda GAMBOSHI, huu ugonjwa wako unaonekana kuwa ni mlundikano wa mapepo , majini mahaba na mapopobawa
 
Hapo kwenye bold lines usiwatafute graduates Muhimbili we nenda zako makaburini, kama makaburi yenu hayako strong nenda GAMBOSHI, huu ugonjwa wako unaonekana kuwa ni mlundikano wa mapepo , majini mahaba na mapopobawa
Bujibuji umewahi kufika bugando ? kuna mtu mmoja anaitwa bwana madokomenti huyo mtu huwa huwa anawatibsha wale wote waloshindikana kwa vidonge yeye anatumia MziziMkavu tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…