Nahisi nafsi inanisukuma kufanya jambo.

Bujibuji umewahi kufika bugando ? kuna mtu mmoja anaitwa bwana madokomenti huyo mtu huwa huwa anawatibsha wale wote waloshindikana kwa vidonge yeye anatumia MziziMkavu tu
Huku Dasalama ma Bugando ni mengi sana, lipo lile li Bugando la PPF Tower, kuna li Bugando lingine pale J MALL, kuna lile lingine la Beanjamin Mkapa Tower, yaani usijali kabisa kuhusu Mabugando hapa jijini.
(isome kwa lafudhi ya Kisukuma)
 
hahaha lebhugandu
 
unamuamini huyo mzee...?
 
Last edited by a moderator:

kaoge mara nane pale salenda utajisikia fresh..
 
Last edited by a moderator:
charminglady kam zis wei,mhanga mwingine wa majinamizi ya ndoto huyu hapa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…