Nahisi naonekana kama mwizi

Nahisi naonekana kama mwizi

Wazima wandugu, hili tatizo ni mimi tu au kuna mwingine linamtokea. Nikienda kwa vibanda vya mpesa mara nyingi wanataka Waone SMS iliyorudi kwangu ndio wanipatie pesa.

Nikienda office za watu utaona mdada anahamisha pochi yake na simu, Bank teller anachukua muda mwingi kunihudumia.. saa nyingine anaenda kupata ushauri kwa mwenzake au manager.

Hii hali inanifedhehesha sana.
Utakuwa una viashiria vya Ugaidi
 
Umenikumbusha mi nlienda kwenye mpesa nimening'iniza funguo ya gar kiunon alaf Niko smart nikamkuta dada mmoja mkali balaa alaf nkaomba namba yake ili nitoe pesa akanipa nikatoa buku tu ,,
Daah yule sista aliniangalia Mara mbili mbili huku ananiuliza umetoa shingap? Nikamjibu buku akauliza "eeeeh?" Nikamjibu "buku" (ki gangster) huku nanyoosha mkono anipe hela yangu nlivyoondoka aliniangalia had napotelea.
Ahahaaaaaa
 
Tatizo mrefu umavaa shati kubwa umevaa converse za kupanda kamba za viatu umefungia kweny ugoko wa mguu

Kwa nn wasikuone kama mwizi huko bank
 
Back
Top Bottom