Nahisi nguvu zangu za kiume zimezidi!

American Ninja

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
226
Reaction score
307
Habari wapendwa, mimi ni Kijana wa umri wa miaka 27, Naishi Dar ingawa kiasili si mtu wa hapa, Natokea mikoani. Jambo lililonileta hapa ni moja kuomba ushauri.
Kifupi nimekuwa na mahisiano ya mamanzi kadha ila jambo la ajabu wote wamekuwa wakishindwa kunihimili kabisa! Na baadhi hata kunikimbia! Kimaumbile nimejaliwa kuwa na umbo la ukubwa wa wastani ila muziki wangu upo kwenye huyu ninja akishasimama!
Naweza nikampelekea miti manzi kwa dk 30 hadi 40 hivi bila kupumzika na tunavyokuja kuafikiana kuwa tupumzike mimi nakuwa bado sijafika kileleni!

Tofauti na mwenzangu ambae muda huo anaweza kuwa tayari ameshafika kileleni kwake! Kifupi mzunguko wangu wa kwanza tu hadi nafikia hatua ya kufika kileleni tunaweza kutumia saa moja na nusu hadi mawili! kitu ambacho kimekuwa kikiwashinda kabisa hawa ndege na kwa wale wababe ambao huwa wanavumilia muziki wa masaa mawili kushindwa kuingia round ya pili!

Baadhi Hunisifu ila wengine wananishutumu kuwa natumia dawa za Kuongeza Nguvu; ila Kiuhalisia Sijawahi hata kuona Rangi ya Dawa hizo za porini au za kisasa!
Wengine wanasema Naangalia porn na Kufanya masterbation kitu ambacho si Kweli!
Naombeni Ushauri ndugu nifanye Nini ili walao niwe wa kawaida kama wengine ila walao niwe naspend Dk 2 zikizidi mno 6 ili niende sawa nao. Maana Naona Imekuwa Kero na sipendi kuhatarisha tena mahusiano yangu kwa sababu ya Hili.
 
Dak 2 umekuwa kuku wew,,
Halafu binadamu sijui tumeumbwa vp tu,, haturidhiki,, ungekuwa unaspend dak 2 kumaliza ungekuja pia kutafuta ushauri,,, komaa na hali yako mkuu
 
Dak 2 umekuwa kuku wew,,
Halafu binadamu sijui tumeumbwa vp tu,, haturidhiki,, ungekuwa unaspend dak 2 kumaliza ungekuja pia kutafuta ushauri,,, komaa na hali yako mkuu
Anazingua apambane na hali yake
 
wanaume wa dar utawajua lengo kusifiwa tyu wakujue kuwa unamaumbile makubwa
 
Huo pia ni upungufu wa nguvu za kiume, kama unakwenda lisaa 1 hukojoi halafu jamaa anakwenda dk 6 anakojoa tena round 3, nani ana upungufu wa nguvu za kiume hapo? Huu mchezo unahitaji akili.
 
Labda Ninja mwenzio aliyeteliwa juzi kati huenda akakupa ufumbuzi.
Maana ninyi maninja mna laana ya kujisifia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…