lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Hilo kama ni kweli ulichotueleza ni tatizo muone daktari.
Mimi binafsi khali hiyo hutokea endapo ntatumia condom, ukizingatia tendo hilo linahitaji hisia zaidi
Sasa kwako upande Wa hisia umeathiriwa na jambo Fulani.
Kwa kuwa umejisifia kuwa umejaaliwa ulitakiwa hali hii isikukute kama uko kamili, vinginevyo yawezekana unakutana na RAMBO.