Nahisi nilivyosafiri, wife alichepuka

Nahisi nilivyosafiri, wife alichepuka

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Habari za wakati huu wakuu?
Nilisafiri siku kadhaa nyuma hapo nimerejea juzi home. Sasa katika kutiana na wife wakati naingiza rungu langu kwake nikaona ngoma imezama tu bila tabu, kwa uzoefu wangu mwanamke akikaa muda mrefu bila kuliwa k huwa inakuwa na tabia ya kubana na hata akiingiliwa na mwanaume ambae sio mzoefu anaweza kudhani ni bikra.

So mimi baada ya kuona hiyo hali nimemuuliza wife kulikoni hiyo hali kanijibu eti sometimes ni hali ya kawaida ila yeye hajachepuka me kwa kweli sijaridhika na hili jibu lake.

So wakuu nishaurini sijachapiwa kweli hapa?
 
Back
Top Bottom