Nahisi nimeambukizwa corona

Mkuu, wanasema kuna mahali huko Sinza Kijiweni wanaita:
ZOMOLA CLINIC
unapona kwa masaa 2 tuu.

Mtemi mpambalioto
Njoo umuelekeze huyu mdau
 
Wengi tumepata na tukapona, kama wewe sio Mwanaume wa kuanzia umri wa 60 and above usiogope utapona tu
 
Tiba namba moja ya Corona ni mazoezi ya mapafu na tiba namba mbili ni kwenda hospitali.Ukikosea ukaanza kutumia hizi dawa za maruwani za serekali akina kujifukizia sijui Covidol unaenda na maji fasta sana.
Mkuu usipuuze hizo nimrcaf na covidol zimeniokoa wabishi wa kutumia niliwaacha muhimbili wamelezwa mimi nilkaa siku 4 tu oksjen ikarudi level ya kawaida.
 
Mkuu usipuuze hizo nimrcaf na covidol zimeniokoa wabishi wa kutumia niliwaacha muhimbili wamelezwa mimi nilkaa siku 4 tu oksjen ikarudi level ya kawaida.
Sasa ulijuaje kuwa kilichokutibu ni tiba ya asili uliyotumia na wala siyo mambo mengine kama vile kinga yako ya mwili,na mengineyo?Ulifanya experiment gani ukagundua kuwa kilichokutibu ni tiba ya asili na wala siyo sababu nyingine?
 
Kunywa aspirin junior au chukua vijiko 2 vya bicarbonate of soda Weka kwenye maji glass moja kamulia na ndimu kunywa
 
Una mojawapo ya matatizo haya; Kisukari, presha, TB, pumu au uzito uliopindukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…