kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Mzeee jifukize na limao la kutosha naimani utapona !!
Yanasaidia sana mi imenipiga saivi imeniachia kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzeee jifukize na limao la kutosha naimani utapona !!
Mkuu, wanasema kuna mahali huko Sinza Kijiweni wanaita:Week yote hii napata shida kuhema yaani engine yangu ya mapafu nahisi Kama ime block halafu kwenye Koo Kuna uzito flan Kama vile mafuta ya mboga yameganda.kifua kimekuwa kizito lakini nawaahidi sikati tamaa kikubwa tu nimeshtuka nimeona niache Kwanza pombe niangalie afya yangu kwa ukaribu.kama mkiona kimya sijapost uzi kwa Zaid ya Mwezi Basi mjue nilisha dead.
Mkuu usipuuze hizo nimrcaf na covidol zimeniokoa wabishi wa kutumia niliwaacha muhimbili wamelezwa mimi nilkaa siku 4 tu oksjen ikarudi level ya kawaida.Tiba namba moja ya Corona ni mazoezi ya mapafu na tiba namba mbili ni kwenda hospitali.Ukikosea ukaanza kutumia hizi dawa za maruwani za serekali akina kujifukizia sijui Covidol unaenda na maji fasta sana.
Sasa ulijuaje kuwa kilichokutibu ni tiba ya asili uliyotumia na wala siyo mambo mengine kama vile kinga yako ya mwili,na mengineyo?Ulifanya experiment gani ukagundua kuwa kilichokutibu ni tiba ya asili na wala siyo sababu nyingine?Mkuu usipuuze hizo nimrcaf na covidol zimeniokoa wabishi wa kutumia niliwaacha muhimbili wamelezwa mimi nilkaa siku 4 tu oksjen ikarudi level ya kawaida.
Mungu aepushie mbali hili mkuukama mkiona kimya sijapost uzi kwa Zaid ya Mwezi Basi mjue nilisha dead.
Week yote hii napata shida kuhema yaani engine yangu ya mapafu nahisi Kama ime block halafu kwenye Koo Kuna uzito flan Kama vile mafuta ya mboga yameganda.kifua kimekuwa kizito lakini nawaahidi sikati tamaa kikubwa tu nimeshtuka nimeona niache Kwanza pombe niangalie afya yangu kwa ukaribu.kama mkiona kimya sijapost uzi kwa Zaid ya Mwezi Basi mjue nilisha dead.