Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please



Pole sana , ingawa na hisi story ni ya kutunga. Endapo ni kwlei ulipatwa na maambukizi na kuhofua usalama wako , kitu ch akwanza ulitakiwa kufanya ni kwend akupima, utakapo kuta haujaambukizwa basi kuna treatment ya hizo dawa za kongea nguvu ambazo zinge weza kuwamalzia vijidudu vipya ambavyo labda havikuonekana kwnye upimaji na ungekau HIV free, lakini yote hayo hutakiwa isiwe chini ya masaa 72 nadhani , kifupi isi zidi siku nne or tatu toka siku una hisi ume ambukizwa . Kama una ona siri yako itatoka na ume ambukizwa , basi tafuta njia yoyote ya kuachana na huyo mwanamke kama utajali siri yako ikitoka . Pole sana
 
hatuna uhakika Kama mleta uzi hajajinyonga. labda alipima akakuta +.
 
Kama story ni ya kweli itakuwa alipima halafu mambo hayakwenda sawa..

Mkuu kama haikuwa sawa angerudi hapa tungemshauri na kumpa moyo na ingetufunza mengi. Kama ni kweli huko aliko atakuwa kimawazo ni kifo bora angekuja hapa tu. Yaani alipotea jumla mkuu.
 
Atupe feedback sasa post imewekwa January mapaka leo hajapima tu!
Au ndo agenda zinaendelea bila mwenyekiti!?
 

Maandiko yepi, haya haya ambayo yanaruhusu utumwa?
 
Tanzania ni nchi ya 6 dunian kwa kuongoza kujinyonga inawezekana mtoa mada alishadedi muda mrefu
 
Habari...mimi nipo mzima, sijajinyonga wala sijafa..ni kwamba tu niliamua kujitenga kidogo baada ya kuona napewa mawazo negative mengi kuliko positive..Nashukuru wote waliochukua muda wao na kunishauri lakini mi nimeamua nisiende kwanza kucheck na nisijihusishe na mahusiano yoyote ya kimapenz kwa sasa..
Nimejikita zaidi kweny kazi na kujijenga kiuchumi ili cku nikienda kupima na kukuta mambo mabaya niwe nimejiandaa,, maana huwez jua akili ipo tayar kiasi gani kupokea majibu....wapo bado wanaofikiria hii ni story ya kutunga lakini siwezi kuwabadili mawazo..Asanteni
 
Kama hutojali naomba utufahamishe hizo sign ulizopata za acute HIV

Kichwa kuuma, shingo, kukohoa kidogo, sikuvimba tezi ila misuli ya tezi shingoni ilivimba, skin Itching, appetite ilipungua,,,na nyingine ndogo ndogo.

Nilipokwenda hospital na kukutwa na UTI, Doctor aliniambia bacteria walisambaa sana mpaka wakaingia kwenye damu, hivyo baadhi ya dalili nilizotaja hapo zilikuwa zinahusiana na UTI bacteria walioingia kwnye damu...bado sijapima HIV.
 
kuingiliwa kimwili pasipo ridhaa yako!

Asante mkuu...hivi mfano wanawake 10 wakimkamata kwa nguvu mwanaume 1, na kujiingilisha kimwili,,hii inaitwaje kwa kiswahili fasaha tena? Au situation kama hiyo hapo juu inaitwaje? Nisaidie ndugu yangu ili tumalize utata huu wa mpishano wa mawazm
 
Asante mkuu...hivi mfano wanawake 10 wakimkamata kwa nguvu mwanaume 1, na kujiingilisha kimwili,,hii inaitwaje kwa kiswahili fasaha tena? Au situation kama hiyo hapo juu inaitwaje? Nisaidie ndugu yangu ili tumalize utata huu wa mpishano wa mawazm

Dalili ndani ya mwezi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…