Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.


Pole sana , ingawa na hisi story ni ya kutunga. Endapo ni kwlei ulipatwa na maambukizi na kuhofua usalama wako , kitu ch akwanza ulitakiwa kufanya ni kwend akupima, utakapo kuta haujaambukizwa basi kuna treatment ya hizo dawa za kongea nguvu ambazo zinge weza kuwamalzia vijidudu vipya ambavyo labda havikuonekana kwnye upimaji na ungekau HIV free, lakini yote hayo hutakiwa isiwe chini ya masaa 72 nadhani , kifupi isi zidi siku nne or tatu toka siku una hisi ume ambukizwa . Kama una ona siri yako itatoka na ume ambukizwa , basi tafuta njia yoyote ya kuachana na huyo mwanamke kama utajali siri yako ikitoka . Pole sana
 
hatuna uhakika Kama mleta uzi hajajinyonga. labda alipima akakuta +.
 
Kama story ni ya kweli itakuwa alipima halafu mambo hayakwenda sawa..

Mkuu kama haikuwa sawa angerudi hapa tungemshauri na kumpa moyo na ingetufunza mengi. Kama ni kweli huko aliko atakuwa kimawazo ni kifo bora angekuja hapa tu. Yaani alipotea jumla mkuu.
 
Atupe feedback sasa post imewekwa January mapaka leo hajapima tu!
Au ndo agenda zinaendelea bila mwenyekiti!?
 
Kwanza ni fundisho kwa vijana wote wanaogegedana kabla ya ndoa wakati maandiko matakatifu yanakataza.Pili mahusiano ya mbali si salama hata kidogo, Ni bora mkawa na kipato kidogo lakini mkaishi pamoja.Habari za mwenzi mmoja yuko Dar mwingine mwanza ndiyo mwanzo wa HIV na ndio maana wanandoa wanaongoza
Mwisho kapime halafu salimisha maisha yako kwa Mungu kwa kufanya hivyo hutamuambukiza girlfriend wako.

Maandiko yepi, haya haya ambayo yanaruhusu utumwa?
 
Tanzania ni nchi ya 6 dunian kwa kuongoza kujinyonga inawezekana mtoa mada alishadedi muda mrefu
 
Habari...mimi nipo mzima, sijajinyonga wala sijafa..ni kwamba tu niliamua kujitenga kidogo baada ya kuona napewa mawazo negative mengi kuliko positive..Nashukuru wote waliochukua muda wao na kunishauri lakini mi nimeamua nisiende kwanza kucheck na nisijihusishe na mahusiano yoyote ya kimapenz kwa sasa..
Nimejikita zaidi kweny kazi na kujijenga kiuchumi ili cku nikienda kupima na kukuta mambo mabaya niwe nimejiandaa,, maana huwez jua akili ipo tayar kiasi gani kupokea majibu....wapo bado wanaofikiria hii ni story ya kutunga lakini siwezi kuwabadili mawazo..Asanteni
 
Kama hutojali naomba utufahamishe hizo sign ulizopata za acute HIV

Kichwa kuuma, shingo, kukohoa kidogo, sikuvimba tezi ila misuli ya tezi shingoni ilivimba, skin Itching, appetite ilipungua,,,na nyingine ndogo ndogo.

Nilipokwenda hospital na kukutwa na UTI, Doctor aliniambia bacteria walisambaa sana mpaka wakaingia kwenye damu, hivyo baadhi ya dalili nilizotaja hapo zilikuwa zinahusiana na UTI bacteria walioingia kwnye damu...bado sijapima HIV.
 
kuingiliwa kimwili pasipo ridhaa yako!

Asante mkuu...hivi mfano wanawake 10 wakimkamata kwa nguvu mwanaume 1, na kujiingilisha kimwili,,hii inaitwaje kwa kiswahili fasaha tena? Au situation kama hiyo hapo juu inaitwaje? Nisaidie ndugu yangu ili tumalize utata huu wa mpishano wa mawazm
 
Asante mkuu...hivi mfano wanawake 10 wakimkamata kwa nguvu mwanaume 1, na kujiingilisha kimwili,,hii inaitwaje kwa kiswahili fasaha tena? Au situation kama hiyo hapo juu inaitwaje? Nisaidie ndugu yangu ili tumalize utata huu wa mpishano wa mawazm

Dalili ndani ya mwezi??
 
Back
Top Bottom