Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

kila moja humu, kapime kapime. Mnaona kitu kirahisi sana. Raha ya ukimwi upime tahari upo mahututi unaharisha kama ngisi unakuwa tahari umejikubali kabla ya vipimo. Hivi hivi afya swaffii thubutu, nyinyi muinjoy maisha mimi nife kwa mawazo
 
Lakini Mkuu nawewe ni muoga sana, mwenzako nishatembea na mademu kama wawili hivi ambao wote tayari tushawazika na chanzo cha vifo vyao inasemekana ni H I V lakini Muuni sina habari wala nini tena ndio kwanza nazidi kunawiri tu. Nakushauri usiende kupima walanini.
 
komaa dogo huna haja ya kupima. mara 1 tu? aah wapi we uko fresh tu mbona. jiamini hujaambukizwa. dont give up..!!
 
magetoni kwa nyie madogo,na ma bachelor ni muhimu kukaa na hata box moja ya ile makitu. Wakati nipo bachelor,zilikua hazipungui gheto kwa emergence!. Kapime upate ushauri.uwe na amani.
 
yaani wewe ni mbulura mbaya baada ukapime ujue kabisa unaogopa au ulikuwa unamtamani huyo demu mliobakana dont talk sh!t dude kapime alaaa...
 

asubiri mpaka anakabidhiwa huyo mtoto UTI mbona upo kila kona..
 
Polee sana Mkuu!But Nimejiuliza Maswali Mengi Kutoka Hicho Ulichokiandika..!How comes Mtu atoke Kwao Aje Kwako !aingiee Ndani Akulazimishe Ufanye Nae Mapenzi Wakati ww Ulisha Mwambia Umutaki,Kingine kivipi Umu Toe Njee Arudi Tena Ndani ndo Ukubali Kufanya Hayo Mapenzi..!Nakushauli Ukapime!Ila Naisi hii Kitu Uliyo Tuandikia Hapa Si Kweli.
 
Kaka acha kabisa kosa moja goli moja,nenda kajue status yako mkuu
 
Bro usipime UKIMWI, nPM tafadhali, after all life continue.
 
We -------- nn ina maana aujui umri wako mpaka unaandika kati ya
 
'I can feel your pain like we're Siamese twins connected by our brains'
Pole sana. Story yako imenikumbusha mbali sana. Labda kwa wasomaji wengine, kama hujawahi kukumbana na hii Hali, naomba msisumbuke kukurupuka kumlaumu huyu jamaa kwa wakati huu. Si wakati wake. The guy is in a hard time. Believe you me, ( been there, done that) .
Yes, it' s possible, a woman can 'rape' you. She can lead you into an unprotected sex under some inevitable given circumstances. So long as u are a human being sexually active and at a long distance relationship, as in our brother's case here.
Ninachoweza kukupa moyo ni Kuwa, uwezekano Kuwa hujaambukizwa ni mkubwa sana tu. 50-50!
Woga wako waweza kupelekea ukahisi hizo symptoms za HIV infections wakati si kweli. Uwoga unapunguza immunity. U won't eat sleep or even think properly. As a result, unnecessary diseases and the 'symptoms'!
Moreover, kwamba huyo mwanamke amekuambukiza makusudi... Atakusemea kwa demu wako... Anakucheka... Blackmailing you... All these zinanipa wasiwasi your story might not be true.
But iff, (if and only if), it's true. Fanya mchakato. Kapime. It's hard I know. Butt, you gotta do it! I'm sure hujaambukizwa.
You might even consider to tell your closest friend, a brother or a sister about it ili, in case umeambukizwa, awe karibu nawe ktk kipindi cha mpito, cuz this too shall pass.
Well, there!
 
Dah hivi nyie mnaomshauri akapime nyie mmeshapima?jamani kupima ngoma ni moja kati ya mitihani migumu sana hapa duniani
 
eti ulibakwa alikushikia kisu?
ukalia sana u mean kuwa hukuwa na akili wakati unafanya tena bila kinga?
umeona mtu anakungangania kwanini usishtuke?
una miaka mingapi ndugu? pole sana kwa uzembe wako
 
Huyu muongo mwanaume habakwi wewe usitudanganye hapa
 
pole sana.
nenda kapime
ni bora ujue afya yako kabisa kuliko kukaa kwenye hali ya sintofahamu..pole sana
 
Anakuchemsha akili Tu huyo kwavile anajua humtaki...sidhan kama atakua na akili timamu kabisa anajua kaathirika then akuambukize kwamakusud wkt hujamfanyia ubaya wwt all u did is being nice to her...happened to me once wen I was in college..nilikuja kupima and I was okey...found out she was jus bluffing...usiwe na wac cha msing we nenda kapime kwa amani coz it's the only way to find out
 
Ndgu zngu, how i wish ningekuwa nmeitunga hii story,,kila nlichoandika humu is 100% PURE,,& yes a woman can rape u sio kwa maguvu but kwa nguv ya ushawish & i was trapped,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…