'I can feel your pain like we're Siamese twins connected by our brains'
Pole sana. Story yako imenikumbusha mbali sana. Labda kwa wasomaji wengine, kama hujawahi kukumbana na hii Hali, naomba msisumbuke kukurupuka kumlaumu huyu jamaa kwa wakati huu. Si wakati wake. The guy is in a hard time. Believe you me, ( been there, done that) .
Yes, it' s possible, a woman can 'rape' you. She can lead you into an unprotected sex under some inevitable given circumstances. So long as u are a human being sexually active and at a long distance relationship, as in our brother's case here.
Ninachoweza kukupa moyo ni Kuwa, uwezekano Kuwa hujaambukizwa ni mkubwa sana tu. 50-50!
Woga wako waweza kupelekea ukahisi hizo symptoms za HIV infections wakati si kweli. Uwoga unapunguza immunity. U won't eat sleep or even think properly. As a result, unnecessary diseases and the 'symptoms'!
Moreover, kwamba huyo mwanamke amekuambukiza makusudi... Atakusemea kwa demu wako... Anakucheka... Blackmailing you... All these zinanipa wasiwasi your story might not be true.
But iff, (if and only if), it's true. Fanya mchakato. Kapime. It's hard I know. Butt, you gotta do it! I'm sure hujaambukizwa.
You might even consider to tell your closest friend, a brother or a sister about it ili, in case umeambukizwa, awe karibu nawe ktk kipindi cha mpito, cuz this too shall pass.
Well, there!