Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

Fuata njia hii,jifanye huyo mwanamke wako wa zamani kama vile unampenda sana na unataka muendelee na mapenzi,akikubali mwambie nataka mkapime HIV kwanza,kama utaona anakubali kirahisi kupima kuna uwezekano anajiamini ana she can be safe na hiyo itakusaidia kukupa confidence ya kwenda kupima nenda naye mkapime,lakini ukimuona anakataa ujue something might have been wrong so subiri upime kwa wakati wako.Pia baada ya kupima ukikuta uko salama mpige chini kwani huyo hakufai sio muaminifu anaweza kuja kukupa ngoma mbeleni.
 
How do you rape a man?

Does the definition of rape according to the law include that of a man?
 
Pole. Ni bora ujikaze ukapime.
 


tuombe mambo yawe mazuri n uwe safe side
pole matatiz
 
Last edited by a moderator:
Kweli nakuonea huruma. Kuna silaha moja anayoijua shetani, ndiyo silaha anayoitumia kumaliza nayo huu ulimwengu. HOFU. Hofu ya yajayo, hofu ya uliyotenda miaka ya hukoo, hofu.
Kijana, weye nenda kapime. LIWALO NA LIWE! ukiisha jua, utajipanga vizuri. Utaamua kumwambia gf wako au uache. Lakini sasa, hii kimbia kimbia yako na viji excuse mbali mbali vitamfanya aone kuwa una mwingine akuache weye sijui utaenda wapi.
Kama ingekuwa kila ukichovya ni tayari umeukwaa mbona wengi leo wangesha kufa? Nenda kapime.
 
You are safe worry out. By the way how long did u take before ejaculation? Was the girl fruidy in her pus.ssy ? You are safe huezi amini ila ndo ukweli Upo salama.
 
People are soo mean,hajaja Jamii forum kuongeza stress....kumbukeni sio watu wote wenye elimu ya ukimwi...kama unaona anachosema si cha kweli,mwambie tu kistaraabu na sio kuanza kumdhihaki...no wonder hajareply most of msgs.....hatujasoma saikolojia bt at list we are humans.
 
We muoga sana wa kufa...Kufa utakufa tu utake usitake....Ukiishi maisha ishi to the fullest with no worries...sio unakosa furaha kisa unafikiri kama una maambukizo....

wewe wasema...sikia tu kwa jirani. haya mambo magumu sanaaaa!!!!
 
wakati kuna watu wanajilipua daily pale buguruni afu wanadundika tu bila wasiwasi....
kweli watu wengine mmeumbwa kuwa na stress..
 
Kubakwa na mwanamke mmh haiingii mukichwa kabisa.
Ila kapime ujue unapoelejea
 
Piga moyo konde Kapime, Hofu sio mbadala wahali hiyo utazid umia nafsini good luck
 
Dah pole sana ndugu yangu...

Nakumbuka kuna mama mmoja alishawahi kusema "Fikiri raha ya dakika chache inakufanya ujute maisha yako yote"

Mungu akupe rehema zake ili pindi utakapoenda kupima usiwe umeambukizwa.N..

Mahusiano ya sasa hivi mimi naweza kuwa mwaminifu tatizo yeye sasa......

Na pia ahsante kwa kupata wazo na kuweka hapa yamkini nimejifunza kitu hapo...........
Kuwa makini na maisha nikiyachezea yatanichezea na kunijutisha.......

Kila la kheri katika majibu yako baada ya kupima nakuombea uwe na Negative.

Ukipata Negative jitunze usirudie kosa tena.
 
Kubakwa dah nimeipenda na tena ulizidiwa nguvu na ukalia sana baada ya kubakwa mwanaume.Nina maswali 2 kwako mbakwaji:
(1) Ulivyobakwa ulisikia utamu au maumivu na naniliu ilisimama?
(2) Kwanin ulivyokuwa unabakwa haukupiga ukelele au mbakaji alizidisha manjonjo na ufundi
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama hofu! Utakonda na kuharisha na kutapika sababu ya hofu.! Hofu ya kupima! Mbaya sana hii hasa kwa sie wapita njia
 

Mmh nitamsaidia kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…