Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please


Kwa asili maumbile ya mwanaume wa sawasawa sio rahisi ku-react katika mazingira uliyoelezea--anahitaji utulivu na hiyari ya hisia zake kabla ya kuthubutu kutenda!
 
Nasikia kama ni kale kamoja ni ngumu kuambukizwa ati hadi ufanye viwili hivi.
Kama ulifanya mara moja na kwa maandaliz mazuri basi ni vigumu sana kupata HIV wataalamu wanasema michubuko ndo tatizo kubwa lkn pia ukimwi unaweza kupatikana kwenye damu kanzia week mbili tangu umeupata hiyo ni kwa mujibu wa madaktari watafit wa nimr muhimbil
 
Hahaha atakwisha kwa mawazo anajipima kwa mawzo na mara nyingi ukiwa ktk mashaka huwez kufikiri neno cna bali ninao tu
 

kwani unatetesi zozote za kuwa aliyekubaka ameathirika au unajihami tu?
 
Siku nyingine usitumie nguvu sana kwa mtu dhaifu kama huyo sawa bwana mdogo?
 
Pole kwa mkasa,ushauri ni kwenda kupima tu hapo.lla hilo swala la mwanaume kubakwa umetudanganya,mwanaume habakwi.Labda useme amekushawishi kufanya hilo tendo (amekutega),mwanaume akiwa katika hali ya msongo au kama hivyo ulivyokuwa katika hali ya kuforcewa kufanya ngono nazani hata dudu inaweza isisimame
 
Pole sana,hofu ndio inayokusumbua.nenda kapme ili upate uhakika wa afya yako.
 
hata wanawake wanaobakwa hutoa Majo Maji ukeni, na kinembe hudinda pia!

si kweli,ndio maana wahanga wa ubakwaji huumizwa pia ukeni sababu ya kutokuwa tayari....ukiona kuna aliyenyevuka huyo kapenda,labda alipiga kelele baada ya kuona jihogo la mwanaume limemzidi uzito akapiga kelele kabakwa
 
Kwanza kabisa kama waipenda nafsi yako ukapime.....! Ni ngumu ila hiyo ndio kweli itakayokuweka huru.
 
pole,ila nakuakikishia u mzima kabisa wasiwasi wako ndo utakuua just go 4test but trust me uko mzima
 
Thanx lots brus & sisters,,,,mwisho wa mwez wa pili i'll go for a test, niombeen tafadhal..ntawapa matokeo if its poz or neg
 
pole sana ,,,,,,,,,,,

pamoja na pole nina swali , huyo dokta aliyekupa PEP alikupatia kwa creteria gani?

Mkuu unaweza kuelimisha kdg khs hiyo PEP? nikitu gani kutokana na Tatizo la mleta mada ingemsadiaje na mwingine ikimtokea hali km ya Jamaa afanyeje kupata msaada wa hiyo PEP?,,,!
 
pole sana ,,,,,,,,,,,

pamoja na pole nina swali , huyo dokta aliyekupa PEP alikupatia kwa creteria gani?

Mkuu unaweza kuelimisha kdg khs hiyo PEP nikitu gani? kutokana na Tatizo la mleta mada ingemsadiaje na mwingine ikimtokea hali km ya Jamaa afanyeje kupata msaada wa hiyo PEP?,,,!
 
Ni vyema kwenda kupima ili kujua afya yako kuliko kuishi kwa wasiwasi.. Mungu atakusaidia
 
Mimi sikushauri ukapime au usipime...
Nachunguza mazingira yaliyopelekea kubakwa!
Ulisema alikuja nyumbani....sorry alikuwa rafiki wako wa shule ya msingi....well...akatishia kukubaka kwenye simu, ukaogopa sana ( i see...) badae akaja nyumbani mwenyewe ...akavua viatu, akaingia ndani...(nafikiri ulijifungia chumbani ukamwacha akiangalia isidingo sitting room)...akavua..ukamvalisha( umesema ukweli,ina hukumaliza ukweli wote) kisha ukamsindikiza....ndo akarudi kukubaka...glory glory glory...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…