Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please


Hakuna maisha mabaya kama kuishi kwa mashakamashaka na ukweli ni kwamba,huo ugonjwa unatisha sana,we usikie tu kwa mwenzako,amani ya nafsi hues haipo tena. Kikubwa ni kukaza roho tu na kuyasubiri majibu ili amani hiyo irejee ama ushauri uwe faraja kwake.
 
Nenda kapime

Mim na ww tumetofautiana kidogo tu, ww ulilazimishwa mie niliomba alafu nikala pekuu, usiku huo demu akanipigia simu na kutamka maneno machache sana na akazima simu yake, aliniambia "Danpol, ulivyokua unafanya vile ulitegemea nini? "

Nisikufiche nilichanganyikiwa, nyumba ilikua ndogo natoka naingia nikajua ukimwi tayari, had kuumwa nilianza kuumwa na kupungua nikajikaza nikaenda kupima nikajikuta fresh, tokea siku ile nina adabu

We kapime
 
Atiii?!! Unasema ulibakwa?!! Halafu nini tena? Ukalia!!! Haya bwana.

Mimi siamini kwenye mwanaume kubakwa,tena mtu mzima na nguvu zako mtoto wa kike anakubakaje? Yani ulishindwa kabisa kumtoa mikononi mwako?

Anyways,kuja Kwako hapa Si suluhisho,Kapime tu mkuu,ni vizuri kujua hali yako mapema ili uishi muda mrefu zaidi
 

Hahaa ulipima kesho yake au ulisubiri baada ya miezi mitatu ndio ukapima?
 

alibakwa, tena uume ulisimama vizurii tu akapiga na t*ko!!!
 
piga moyo konde, nenda kapimeeeee mkuuuu coz no way out zaid ya ww kwwnda kupimaaaaaaa
 
Pole kwa jaribu zito kama hilo.MUNGU wetu ni wa rehema, atakusimamia, usife moyo.
Nenda ukapime tafadhali.
 
Ni almost 10 months old thread. Je mleta mada hajapima tu na pia hajarudi hapa kurejesha au kujibu lolote hapa. Usanii huu. He is not serious kabisa.
 
Ni almost 10 months old thread. Je mleta mada hajapima tu na pia hajarudi hapa kurejesha au kujibu lolote hapa. Usanii huu. He is not serious kabisa.

Kama story ni ya kweli itakuwa alipima halafu mambo hayakwenda sawa..
 
ulishasikia wapi mwanaume kabakwa na mwanamke itakuwa wewe ndio mbakaji hebu toa maelezo vizuri pia unavyochelewa na hali yako inazidi kuwa mbaya wahi ukacheki HIV status.
 
Hata mimi najua hii thread ni ya zamani sana. UTI ni kawaida kama mwanamke anajisafisha toka nyuma kwenda mbele, na ndio walio wengi. Maadam hukuruhusu michubuko basi HUNA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…