Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 750
- 656
Pole sana mkuu wala usihofu achana na hofu utakufa kabla ya siku zako,cha muhimu nenda kapime uwe na uhakika unajua unaweza kufa kwa hofu kumbe huna hata huo Ukimwi wanaopima unafikiri wajinga au wanapima kwa sababu wanajitambua najua sio rahisi hata kidogo lakini alimradi una ujasiri wa kupokea majibu nenda kapime ujue ukweli ili usimuumize umpendae na kama ikigundulika unao uwe wazi kwa umpendae huo ndo upendo wa kweli,inawezekana kabisa huna maana ukikutana na mwenye HIV sio lazima uupate maana sometimes kuna mazingira yana favor kutokuambukizwa afterall una hofu huku ukiwa huna uhakika kama huyo uliyetembea naye anao,BE A MAN Nadhani unaelewa namaanisha nini UTI ni magonjwa tu kama mengine.
Hakuna maisha mabaya kama kuishi kwa mashakamashaka na ukweli ni kwamba,huo ugonjwa unatisha sana,we usikie tu kwa mwenzako,amani ya nafsi hues haipo tena. Kikubwa ni kukaza roho tu na kuyasubiri majibu ili amani hiyo irejee ama ushauri uwe faraja kwake.