Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

Umenifanya nifikiri,ni kwavipi mwanaume unaweza kubakwa na mwanamke? How? ,ulilia? Nahisi kunajambo hujaliweka wazi hapo.bado sijaamini!

tafsiri ya kubaka inafanya mwanaume awe HABAKIKI yaani mwanaume hawezi kubakwa,kubakwa ni kushirikishwa au kufanyishwa tendo la ndoa bila hiari yako,sasa kwa mwanaume mpaka dude lisimame ndio tendo litafanyika maana ya kusimamisha dudu ni kwamba umeshatengeneza utayari wa kufanya hivyo hakuna kulazimishwa hapo!
 
Ndgu zngu, how i wish ningekuwa nmeitunga hii story,,kila nlichoandika humu is 100% PURE,,& yes a woman can rape u sio kwa maguvu but kwa nguv ya ushawish & i was trapped,,

pole sana, nenda kapime usijipe high bp na unaweza kuwa hauna.

wengi hawaelewi kuwa au hawajui wanawake wana baka wanaume pia.
 
Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.

pole sana mkuu, lakini pia yaweza kuwa its jus HIV/AIDS PHOBIA. according to Webster's Dictionary. AIDS phobia is an irrational fear of HIV and AIDS. Kwa sababu u are feeling guilty kwa ulichokifanya so unahisi unastahili kuwa punished kwa kupata HIV. na pia kuna kitu kinaitwa "HIGHEST STATE OF MIND SUGGESTIBILITY" hiyo ni unaweza ukadevelop symptoms za ugonjwa husika hasa kwa kuwaza kwa undani kwamba umeshaupata, yani kwa mfano unaweza ukamwambia mtu aliyemaliza kula kuwa chakula chake kilikuwa na inzi then yeye akaanza kuwaza sana kisha kutapika na pia tumbo litamuuma lakini kumbe ulikuwa umemdangannya. so cha msingi NI KUPIMA NA KUJUA AFYA YAKO coz kuna dalili nyingi tu za magonjwa mbalimbali zinazofanana na maambukizi ya VVU. kupima ndo mpango mzima.
 
Nenda kapime kama ushahidi tu! Si uhakika kwamba umeambukizwa! Na hizo dalili unazokuwa unahisi zinakutokea ni woga wako tu! Ndo inapelekea uone kama tayari una maradhi! Mjomba uwe na imani!
 
Eti ulilia sana baada ya kubakwa....
R.I.P Me 🙁
 
Unachekesha Sana! pia Hukuwa Serious, Kama hauko Tayar kupima Fatilia Maisha ya huyo Demu, Cheki afya yake kwa Macho Maana umedai we Bingwa wa Ku diagnose HIV kwa Macho na Symptomatically, Lakini ukienda Angaza wana Councelling Procedure wala hutoumia!
 
tafsiri ya kubaka inafanya mwanaume awe HABAKIKI yaani mwanaume hawezi kubakwa,kubakwa ni kushirikishwa au kufanyishwa tendo la ndoa bila hiari yako,sasa kwa mwanaume mpaka dude lisimame ndio tendo litafanyika maana ya kusimamisha dudu ni kwamba umeshatengeneza utayari wa kufanya hivyo hakuna kulazimishwa hapo!

hata wanawake wanaobakwa hutoa Majo Maji ukeni, na kinembe hudinda pia!
 
Sijaelewa. Umepata U.T.I. halafu unahisi ni UKIMWI! Mbona hilo ni tatizo la kawaida sana!
 
watu tunarosti huu mwaka wa kumi sasa hatuogopi sembuse Ww rosti moja rohoooo juuu waweza kuta aliyekuambukizani yuleee unayemwamini
 
Hallow wana JF, Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa itofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.

You are safe worry out. By the way how long did u take before ejaculation? Was the girl fruidy in her pus.ssy ? You are safe huezi amini ila ndo ukweli Upo salama.
 
Nani anapenda kufa akiwa m'bichi wewe!!!!!!!!
Haimati utakufa ukiwa mbichi au umekomaa,wapo wanaozaliwa wakafa hata raha za dunia hawajazionja sembuse wewe uloishi decades!Live with no regrets and be aware of ur health status!
 
Sorry ndugu zang, nashukur sana kwa mlio2mia mda wenu kusoma & kureply kwny post yng, imenipa ahuen somehow but kuna baadh wamenihuzunisha na kuchukulia situation yangu kama utani,,but thanx a lot... nimeshindwa kureply kwa m1 m1,
But this is all i have 2 say:
1. Hii si story ya kutunga, imentokea mim mwenyewe
2. Kwa upeo wangu mdogo lakin najua kuna tofauti ya dalil za UKIMWI na Acute HIV/seroconvertn..hizi zilinipata baada ya mwez 1, headache, tonsilitis, shingo iliuma (dokta alinambia sababu ya kichwa kuuma) & skin Itching( nliambiwa bacteria kdogo wa UTI wameingia kwny damu)
3. "Nililia" si kwa sababu nilihis ki2, hapana but maisha yangu yote hii ndio mara ya kwnza nafanya ngono nje ya mahusiano, i've never done that & naomba Mungu icje ikatokea mbeleni. I believe in true love & faithfulness (wengi wataponda sana hapa), na si kulia kama mtoto mdogo but ni roho inauma na machoz yanatoka kidogo
4. Labda nimekosea ku2mia neno "RAPE", msinihukumu but atleast "FORCED" will do..jaman hakuwa mtu baki tu, alikuwa rafik wa mda mrefu, utani mwingi & was just trying to b nice/gentleman, kumuelezea kwamba hatuwez na haitokaa tuwe wapenzi sababu simpendi na nina girlfriend & cwez kucheat kumbe mwenzang ana Plan B...
5. Cjui kwann wa2 wamedoubt sana umri but am 26, bachelr dgree in BA..
6. Bahati mbaya ckuwa najua kuhusu PEP, laiti ningekuwa najua ningewah hospital. Nlifahamu too late wakat naenda hospital kutibiwa UTI..
 
suluhu ni kupima tu , na saikolojia huua zaidi ya huo ukimwi amini nakuambia.........

ila hadithi imekaa ya kutunga tunga , yaani mwanaume uzidiwe nguvu na mwanamke akubake.........

dah! hii ni ngumu kukubali arifu!!!!!!!!!!!
 
Jikaze kiume, wewe ni mwanaume, mwanaume shupavu haogopi vita tena ni mlinzi wa mtu ampendae, nenda kapime
 
Jipe moyo nenda pengine ni hali ya kisaikolojia tu kwani hiyo UTI inawezekana ulikuwa nayo muda mrefu tu kutokana na matumizi ya vyoo vya public na sababu nyinginezo na kitendo cha kupima kilisukumwa na wewe kuwa na hisia za kuwa umeambukizwa HIV na ndio hali uliyoijenga kichwani kwako. Haiwezitoka pasipo kujiridhisha kwa vipimo nenda kapime usiogope. Jiulize utamkimbia mchimbako mpaka lini? mwisho wake ni nini? Utaishia kukonda kama mnazi kwa sababu ya mawazo, wahi kucheck.
 
Haimati utakufa ukiwa mbichi au umekomaa,wapo wamaozaliwa wakafa hata raha za dunia hawajazionja sembuse wewe uloishi decades!Live with no regrets and be aware of ur health status!

Nisindikize basi, coz sijioni nikienda mwenyewe kikaangoni, lol
 
  1. Wala hujaambukiwa VVU, we kapime tu ujihakikishie. Ni kwa sababu tu ulikuwa na msimamo wa maisha yako ndipo hayo yakatokea.
  2. Labda kama hukucheck gonorrhea fanya hivyo.
  3. Kuwa jasiri na jamini zaidi.
 
Hauko peke yako kaka.
Mwenzio nipo kwenye dozi ya PEP kutokana na mabalaa kama hayo, Dokta kaniambia sio 100% Zinafunction, Sina raha, Nimedhohofu mwili, Uwezo wangu kazini pia umepungua, Nimeambiwa baada ya mwez mmoja nitapima kuona maendeleo ya tiba.
Najiona tarehe haifiki,Nina mawazo mengi kichwani, sina raha abisa.
Niombeeni dua wadau ili tarehe hiyo majibu yangu yawe mazuri.

pole sana ,,,,,,,,,,,

pamoja na pole nina swali , huyo dokta aliyekupa PEP alikupatia kwa creteria gani?
 
Back
Top Bottom