Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi

Sasa mzee baba, koo kukauka ndio kuumwa ngoma?
 
Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi
Hii kitu ilinikuta ndo nilikumbuka nyimbo zote za kujiadhari na ukimwi nilizo fundishwa Toka msingi hayo mabango ya ukimwi ndo nilijua maana yake vizuri na kuzidi kinitia hofu moyoni
Ilaa baada ya kupima Niko safe nikaapa sitawai rudia tena kumkomoa malaya hadi kondom kupasuka
 
Kwa hiyo hofu aliyokua nayo, hawezi kusubiri majibu huyo lazima atoke nduki
πŸ˜… mimi kama wiki 2 zimepita nilienda hospital nikasema hebu ngoja nipime, wakati nasubiria majibu nilitaka kukimbia nikaanza kuwaza hivi ni nini kimeniambia nipime na sikwenda na lengo hilo, mwsho wa siku majibu yakatoka vizuri ila nilipata mawazo sana ndani ya muda mfupi.
 
Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi
Acha ujinga hiyo ni dalili ya corona kula malimao na tangawizi kwa wingi siku 3 nyingi utakua poa.
 
Vijana acheni kutembelea RIM.

"Enyi vijana sikilizeni, mnapokuwa masomoni. Acheni mchezo wa mapenzi, mnawapa uchungu wazazi wenu,wazazi wanakusomesheni kwa gharama nyingi sana matokeo yake mnafukuzwa shule masomo na mapenzi vyote vyapotea" - Mbaraka Mwisheikh
 
Mapigo ya moyo yalikua yanadunda balaa hapo 🀣🀣

Nyie mnaopenda kupima pima hakika mnachokitafuta mtakipata vere soon.
 
Mapigo ya moyo yalikua yanadunda balaa hapo 🀣🀣

Nyie mnaopenda kupima pima hakika mnachokitafuta mtakipata vere soon.
Mimi nilisema ngoja nikapime wakati nasubiria majibu aisee nikasema ngja nikatembee tembee asa si nikajikuta nipo home!!! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…