Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 434
- 1,551
Kwa hiyo hofu aliyokua nayo, hawezi kusubiri majibu huyo lazima atoke ndukiIli kama kaungua aanze dozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hofu aliyokua nayo, hawezi kusubiri majibu huyo lazima atoke ndukiIli kama kaungua aanze dozi
Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi
Je ni moja ya dalili za ukimwi
Hii kitu ilinikuta ndo nilikumbuka nyimbo zote za kujiadhari na ukimwi nilizo fundishwa Toka msingi hayo mabango ya ukimwi ndo nilijua maana yake vizuri na kuzidi kinitia hofu moyoniDaaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi
Je ni moja ya dalili za ukimwi
Ukimwi unaua.Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi
Je ni moja ya dalili za ukimwi
😅 mimi kama wiki 2 zimepita nilienda hospital nikasema hebu ngoja nipime, wakati nasubiria majibu nilitaka kukimbia nikaanza kuwaza hivi ni nini kimeniambia nipime na sikwenda na lengo hilo, mwsho wa siku majibu yakatoka vizuri ila nilipata mawazo sana ndani ya muda mfupi.Kwa hiyo hofu aliyokua nayo, hawezi kusubiri majibu huyo lazima atoke nduki
Kiswahili gani auna au hauna!!Auna ukimwi ni chumvi ilizidi ikakausha koo
Acha ujinga hiyo ni dalili ya corona kula malimao na tangawizi kwa wingi siku 3 nyingi utakua poa.Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi
Je ni moja ya dalili za ukimwi
Nmesharekebisha mkuu.Kiswahili gani auna au hauna!!
BarikiwaNmesharekebisha mkuu.
🤣🤣🤣Apime agundue nini bana, asubiri hadi akianza kukonda
Mapigo ya moyo yalikua yanadunda balaa hapo 🤣🤣😅 mimi kama wiki 2 zimepita nilienda hospital nikasema hebu ngoja nipime, wakati nasubiria majibu nilitaka kukimbia nikaanza kuwaza hivi ni nini kimeniambia nipime na sikwenda na lengo hilo, mwsho wa siku majibu yakatoka vizuri ila nilipata mawazo sana ndani ya muda mfupi.
Daaah aisee ulipiga deki mkuu?Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi
Je ni moja ya dalili za ukimwi
Mimi nilisema ngoja nikapime wakati nasubiria majibu aisee nikasema ngja nikatembee tembee asa si nikajikuta nipo home!!! 😂😂Mapigo ya moyo yalikua yanadunda balaa hapo 🤣🤣
Nyie mnaopenda kupima pima hakika mnachokitafuta mtakipata vere soon.
🤣🤣🤣Mimi nilisema ngoja nikapime wakati nasubiria majibu aisee nikasema ngja nikatembee tembee asa si nikajikuta nipo home!!! 😂😂