Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Nahisi nimeambukizwa virusi vya UKIMWI

Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi
Hapana acha uoga ukiona huelw kamuone dartari
 
Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi
Utakua ulikuwa wewe ndio unalamba koni alafu unasingizia ukimwi na mwanamke
 
Hakuna mwili unaweza ku-react na kuonesha dalili za kupata VVU/UKIMWI kwa wiki moja

Mara nyingi dalili huonekana baada ya Siku 90 sio kama wewe eti Siku 7

Nikushauri tu, punguza woga

Lakini usipende kufanya ngono zembe as if hauna kesho yako

Pia tuache kupima HIV/UKIMWI na Mpenzi wako mpya mara moja Kwa Siku Moja na kuingiliana naye

Nimeona Kuna baadhi ya Ke/Me wanameza dawa Fulani(kupandisha cd4) masaa kadhaa kabla hamjaenda naye kupima, mkienda kupima utakuta mwenzio anasoma negative japo masaa kadhaa nyuma alikuwa ni muathirika 🙌
 
Daaaaah nina stress kinomwa
Nilikutana na mwanamke baada ya kama week hivi koo langu likawa kavu sana ila haliumi hata Nikila chakula sisikii maumivu
sina dalili nyingine tena zaidi

Je ni moja ya dalili za ukimwi
Kimekulamba...
 
Ukinusurika. Umesahewa dhambi zako, Uenende na amani usitende dhambi tena.
 
Hakuna mwili unaweza ku-react na kuonesha dalili za kupata VVU/UKIMWI kwa wiki moja

Mara nyingi dalili huonekana baada ya Siku 90 sio kama wewe eti Siku 7

Nikushauri tu, punguza woga

Lakini usipende kufanya ngono zembe as if hauna kesho yako

Pia tuache kupima HIV/UKIMWI na Mpenzi wako mpya mara moja Kwa Siku Moja na kuingiliana naye

Nimeona Kuna baadhi ya Ke/Me wanameza dawa Fulani(kupandisha cd4) masaa kadhaa kabla hamjaenda naye kupima, mkienda kupima utakuta mwenzio anasoma negative japo masaa kadhaa nyuma alikuwa ni muathirika 🙌
Hiyo aya ya mwisho umenitisha sana babu.
 
Hilo jambo lipo kabisa

Kuna dawa mtu mwenye maambukizi anakunywa inaenda kuvifanya virusi vilale hivyo ukienda kupima naye ataonekana hana maambuzi.

Anachokifanya ni kunywa dawa masaa kadhaa kabla ya nyie kwenda kupima naye, mkienda kupima unakuta ni negative. Ukitaka kumu-win ukampime bila kumpa taarifa
 
Kupima vizuri naona ni kwa kumshtukiza mtu, ukitoa taarifa unampa nafasi ya kujiandaa.
 
Back
Top Bottom